Salaam wadau..ninauza pikipiki aina ya Honda 110 ya japan orijino.Iko vizuri kabisa.Bei 1.8m maongezi yapo.Karibuni.Kwa mawasiliano 0689900000View attachment 519293View attachment 519294View attachment 519295
Hii dukani bila 5m hujachukua. Msifananishe hii na pikipiki za kichina. Hii ukifunga plau inalima, inavuta tena nk.
5M si bei ya gari(kirikuu)Hii dukani bila 5m hujachukua. Msifananishe hii na pikipiki za kichina. Hii ukifunga plau inalima, inavuta tena nk.
Huko Rwanda ilipo anza mchakato wakuimpoti kabisa.Mkuu nakuombea upate ugumu wa kuiuza mpaka august niichukue aisee kuna project ntaianza lazima niwe na pkpk dzain hii...sema aamin!!
Pembeni yake kuna crown BGY haiwez kuwa rwandaHuko Rwanda ilipo anza mchakato wakuimpoti kabisa.
hapa nilipo nikianza safari kwa mguu dakika 80 nakuwa rwanda. nitajie tu mtaa iliko niisogeze utaikuta benaco mkuu!Huko Rwanda ilipo anza mchakato wakuimpoti kabisa.