mimi ni mkazi wa dar es salaam kigamboni. tafadhali kwa anayejua watu au kampuni au shirika linalotoa mafunzo ya ujasiriamali kama kutengeneza tomato sauce, crips, sabuni ya unga na ya kipande na bidhaa zingine zingine tafadhali anisaidie...
mawasiliano :
0744634065
email; stratonsabass@gmail.com
ahsanteni
mawasiliano :
0744634065
email; stratonsabass@gmail.com
ahsanteni