Naomba ushauri kuhusu soko la mahindi

Naomba ushauri kuhusu soko la mahindi

Shaban Rajab

Member
Joined
Nov 1, 2017
Posts
79
Reaction score
31
Mimi nina hekari 3 maeneo ya bagamoyo mwavi na nimelima mahindi sema sina uzoefu wa masaki.
Naomba ushauri kuhusu soko lake
 
Ninavyoona mimi bora kuuza ya kuchoma kuliko makavu. Kwani soko ni faster, ila kwa ajili ya kuchoma unatakiwa upande mbegu tamu za mahindi kama PANNAR 4m19, hybrid 4h32 na Seedco tumbili.
 
Yale niliyopanda mimi ni hybrid DH 04
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom