Ushirombo
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 3,558
- 2,698
kampun ya kitanzania Msallamo Agro Envi ltd wanaojishughulisha na technolojia mbalimbal za maisha ambazo ni rafiki kwa mazingira,tunawatangazia tena kuwa tunauza digesters ambazo ni mbadala wa septic tank na soakpit,kwa bei nafuu na gharama zetu ni 2.5mil installation cost included.Ni system nzuri sana hutajuta,kwan haijai,haitoi harufu na inatumia space ndogo na pia gharama yake ipo chini kulinganisha na kuchimba matank ya choo.Karibu