yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,916
- 4,168
Nahitaji kuku wa kienyeji mmoja tu anayetaga. Sio chotara.
NB: Awe anaendelea kutaga maana nataka.
Kama unaye sema hapa nikutafute, nipo Dar.
NB: Awe anaendelea kutaga maana nataka.
Kama unaye sema hapa nikutafute, nipo Dar.