Kwa wale wote ambao wanataka kumiliki viwanja(Vilivyopimwa &au visivyopimwa - squater) kwa ukubwa wa aina yoyote...maeneo ya kibada,mji mwema,gezaulole,Tuangoma,Vijibweni , kis arawe....etc piga...
Habari za majukumu:
Nyumba ambayo haijakamilika inauzwa ipo KITUNDA (banana)
Ina vyumba vitatu vya kulala, sitting room, dinning room, jiko, na choo cha ndani.
Ukubwa wa Eneo; square meter 484...
Habari wadau,
Kwa yeyote ambae analima ufuta au anafahamu mkulima mkubwa wa ufuta naomba tuwasiliane. Nanua kuanzia tani 1-10 kwa mkupuo. Uwe ni ufuta wa mbegu nyeupe. Aksante. Contact 0686475955
Wakuu naitaji Dalali mzoefu anaepatikana kigamboni
Nina Shamba langu la hekari tano kigamboni kwa chaurembo njia ya kwenda buyuni
Nataka kuliuza so kama kuna dalali ambae naweza kufanyanae...
Wakuu natafuta mtu mwenye pressure washer ambayo hana matumizi nayo kwa sasa.
Iwe ya mafuta
Nitalipa kwa wiki/mwezi
Niko Tabata
Iwe anafanya kazi
Mazungumzo zaidi njoo PM, namba yangu ni 0658584706
Nauza kiwanja changu kipo mbagala msongola kinasifa zifutazo
Ukubwa miguu 20 *20
Kipo pembezoni na bara bara ya mtaa
Huduma za afya na shule zipo karibu
Kipo tambarale kabisa
Umeme upo
Maji yapo...
Habari za jioni wanajamvi
Niliona wale SUMA JKT kwenye TV wanatengeneza miradi ya ufugaji samaki kwenye matenki ni technologia nzuri niliipenda ila bahati mbaya hawakuweka namba zao za simu naomba...
Wakuu habari zenu poleni na mihangaiko ya hapa na pale ya kujikwamua na maisha haya ya kukaza kwa vyuma...
Niende katika kusudio langu, nahitaji chumba na sebule mitaa ya buza kanisani.
Bajeti...
habari wandugu nilisikia kuna kampuni ya Wakorea fulani hivi wanakopesha mashine za kutolea photocopy lakin sijajua vizuri wako wapi naomba anayejua anisaidie au kama kuna kampuni inafanya hyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.