Viatu aina ya American boots origional vinapatikana wapi?

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
29,020
Reaction score
40,835
Habarini Wadau,

Najua hivi viatu vipo madukani ila sikuhizi vingi sana ni fake...kuna mgeni wangu nipo naye anaviulizia sana hasa Black & Brown

Kuna yeyote anaweza kunisaidia namna ya kuvipata na bei yake ikoje?

Shukran.
 
K/koo chimboni mtumba ilala chimbini
 
Habarini Wadau,

Najua hivi viatu vipo madukani ila sikuhizi vingi sana ni fake...kuna mgeni wangu nipo naye anaviulizia sana hasa Black & Brown

Kuna yeyote anaweza kunisaidia namna ya kuvipata na bei yake ikoje?

Shukran.
MKUU UKITAKA KUJUA HII FAKE NA OG UNAANGALIA NINI?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom