nyundo2017
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,437
- 861
Mtu anakutumia sms ya uganga na unapiga inapatikana hiyo namba imesajiliwa kabisa na anapokea vyombo husika mna kazi gani sasa iwapo watu wanalalamika humu na wamiliki wa namba izo za utapeli wapo?
Shitakini hata mitandao ya simu ambayo haizuii janga hili bwana,vipi!!
Shitakini hata mitandao ya simu ambayo haizuii janga hili bwana,vipi!!