Msaada soko la kuku dar es salaam

Msaada soko la kuku dar es salaam

chibalangunamchezo

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,542
Reaction score
2,647
Habari wakuu, kama kichwa cha habari kunavojieleza.


Naitaji msaada wa taarifa kuhusu soko la kuku au wanunuaji wa jumra jijini dar es salaam.

Kuku ni wakienyeji toka singida, bei maelewano baina ya mfugaji na mteja.


NB: kuku wanapatikana kwa wiki mara mbili kwa idadi ya kuku ishirini mbaka therasini, lakini ukitaka zaidi pia utapata kwa wakati utakao kubaliana nasi.

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom