Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nahitaji vifaranga wa Kuku wa nyama,naomba kwa yeyote ambaye anajua vinakopatikana anijuze mimi nko sumbawanga
0 Reactions
0 Replies
937 Views
Habari wana JF. Kwa wale wenye sherehe za harusi, kitchen party, send off na shughuli yoyote inayohitaji card za mialiko na michango Bluebird Invitations wanazo card mpya nzuri sana zinazoenda na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari? Nauza laptop ya Apple aina ya Macbook Pro, yenye specification zifuatazo: Hard disk GB 500 RAM GB 8 Graphics Card (vRAM) GB 1.5 Processor Core i5 Condition ni Used kidogo sanaa na ina...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana jf kwa yoyote anaye fahamu msaada plz @ litre bei gani? 20 litres kwa bei ya jumla?
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Galaxy note edge mpya 400000 Haina tatizo.
0 Reactions
5 Replies
839 Views
Wakuu kama bandiko linavyosomeka. Nahitaji kama kuna anayeuza Alcatel zile ndogo za kawaida. Nimesahau model ila ni zile ndogo. Naihitaji. Kama uko nayo wauza PM na bei na namba ya simu.
0 Reactions
2 Replies
830 Views
Jee wewe ni mtunzi wa hadithi, vitabu vya riwaya, tamthiliya au vitabu vya taaluma, na umekuwa hufadiki na kipaji chako cha uandishi? Jee umeandaa kitabu chako lakini umeshindwa kukichapisha kwa...
2 Reactions
5 Replies
12K Views
NAMAINGO BUSINESS AGENCY CO LTD ni kampuni ya ushauri wa kibiashara, ikijikita zaidi kwenye kilimo biashara (AGRIBUSINESS).Kampuni inawaunganisha Watanzania wajasiliamali na wajasiliamali...
1 Reactions
76 Replies
17K Views
Kupata habari ni haki ya kikatiba , ni makosa kuwakosesha habari watu waliolipia , ni wizi wa mchana na haukubaliki . Kupokea malipo ya wananchi ili kuwapa huduma ya kuwaonyesha channel kadhaa...
4 Reactions
52 Replies
9K Views
Nauza mazulia mazuri ya mtumba..popote ulipo waweza kutumiwa...whatsapp no 0717556623/0743185408
2 Reactions
9 Replies
7K Views
Habari zenu, nahitaji viungo kama Parsely,Pilipili manga, Mdalasini,Hiliki, karafuu na garlic powder kutoka mashambani, msaada kwa yeyote anaefahamu wakulima ningependa kuchukua direct kutoka...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Habari za zenu wanajf! Nauza nguo za watoto za kike na za kiume za kunzia umri wa miaka miwili mpaka kumi, na ni za dukani, pia kwa ambao ana malengo ya kuanzisha duka zitamfaa zaidi maana pia...
1 Reactions
2 Replies
11K Views
Watengenezajiii wa madirishaa ya Alluminium pamoja na milango, Roller shutters tupo Arushaa. Contact 0767638911 Karibu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Next week naleta kilo 160-200 ambazo ni sawa na debe 18-20 za maharage rose koko kwa sh 2300 kwa kilo kama unahita naomba nipgigie hapa 0655822872 /0625539442
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Jumla na rejareja[emoji160] Rangi zote,size zote. Price : Kuanzia sh. 4,000/= Location : UDSM | Kigamboni Contacts : +255758592185 | +255656735240 Delivery ipo,unaletewa/ unatumiwa popote.
1 Reactions
94 Replies
13K Views
Salaam zenu wana jf.Kwa kifupi nafanya biashara ya nyumba ya kulala wageni(guest house) iliyopo TEMEKE. Nyumba yangu ya wageni ina vyumba saba (7) ambavyo kwa siku nina uwezo wa kuingiza tshs...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
WAKUU WENYE UFAHAMU NA MAMBO YA KUAGIZA MAGARI NAOMBA MSAADA, Nahitaji kuagiza gari kama hii niliyoweka kwenye picha: FOB Price ni US Dola 2468. Engine Size ni 990cc Na mwaka ni 2005 Je gari...
0 Reactions
12 Replies
9K Views
Tafadhali mkulima,dalali au mfanyabiashara wa vitunguu pitia PM kama unaweza kupata kiasi tajwa.Nitachukua kutoka sehemu yoyote Tanzania.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tunachora ramani za nyumba aina zote. Tunatoa ushauri wa ujenzi nk. Pia tutakupa gharama zote za ujenzi wa nyumba yako. karibu sana. 0654919121 0658919121
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kwa yeyote anayejua wapi naweza kupata solar dryer hapa Tanzania. Tafadhali anielekeze. Nahitaji yenye ukubwa wa kadri inayoweza kukausha matunda au samaki.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom