Mdogo ake the BOLD
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 559
- 998
Habarini wakuu, nilikua nauliza wapi nitapata vifaa vya majiko ya Gesi Kwa bei ya jumla nipo dar es salaam
Kwa mawakala wakuuHabarini wakuu, nilikua nauliza wapi nitapata vifaa vya majiko ya Gesi Kwa bei ya jumla nipo dar es salaam
Kwa mfano Kwa dar vinapatikana wap??Kwa mawakala wakuu
Katika wilaya yako
Umemuuliza kaka yako The Bold....[emoji45] [emoji45]Habarini wakuu, nilikua nauliza wapi nitapata vifaa vya majiko ya Gesi Kwa bei ya jumla nipo dar es salaam
Kwa Dar hauwezi ukapata, maana kuna mafuriko....[emoji6] [emoji6]Kwa mfano Kwa dar vinapatikana wap??