Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Waheshimiwa, kwanza natanguliza salamu. Ninapanga kukwea Mlima Kilimanjaro mwezi January, 2018. Ningependa kupata makadirio ya gharama zifuatazo: - Gharama za mbeba mizigo - Nguo maalumu, boots...
7 Reactions
107 Replies
26K Views
*3 mzukaaaaaaaaaaaaaaaaaaa* NAWAPA TATU ZA MOTOOOOOOO Iphone 7plus 32gb Mate black 1,130,000 Phone+charger Galaxy S8 64gb Black 850,000 Full accessories IPhone 6s 32gb Space gray 580,000
0 Reactions
3 Replies
921 Views
Nauza Simple shoes zenye quality bora Bei 14,000 (free delivery kwa Dar,mikoani mtalipia gharama za usafirishaji)
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natafuta speed meter za baskel mwenye kuwa nazo au ana mtu anahusika na haya mambo tuonane 0753358283 nipo mwanza naitaji kwa haraka sana msaada kama hizi
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nauza Samsung j7 pro.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wadau habari zenu kama kinavyosomeka kichwa cha habari apo juu naitaji mfanyakazi wa ndani na uuzaji wa duka apoapo nyumbani ni pm tuerewane
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Habari Wana JF!! Napenda kuwaletea vitu vizuri kbsa kwa maelewano ya Kibiashara/Ujasirilia-mal. Ni vikapu na viatu kwa bei ya jumla!! Bei ya jumla ni kuanzia 5pcs. Vikapu ni Tshs 28,000/= kwa...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Tunatoa huduma ya Diagnosis ya Gari kwa bei ya Tsh 20,000 tu. Huduma itakua na moja au yote kati ya haya: 1. Read and Clear Check Engine Lights. 2. Read and Erase ABS & SRS trouble codes. 3...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habarini ndugu zangu, mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu, nimekwama ada kias cha laki mbili, nipo dar, naomba kwa yeyote anikopeshe kwa dhamana ya cheti changu cha Form 6.Nitamrudishia muda...
1 Reactions
6 Replies
823 Views
wadau naamin jf ndo Tanzania yenyewe. naomba anayejua gharama makadirio kusafirisha sedan car hadi bandari ya dar es salaam aniambie, na hasa kama ni agent mzoefu naweza kumtumia kuzingatia...
0 Reactions
1 Replies
925 Views
Nahitaji vifaranga wa Kuku wa nyama,naomba kwa yeyote ambaye anajua vinakopatikana anijuze mimi nko sumbawanga
0 Reactions
0 Replies
937 Views
Habari wana JF. Kwa wale wenye sherehe za harusi, kitchen party, send off na shughuli yoyote inayohitaji card za mialiko na michango Bluebird Invitations wanazo card mpya nzuri sana zinazoenda na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari? Nauza laptop ya Apple aina ya Macbook Pro, yenye specification zifuatazo: Hard disk GB 500 RAM GB 8 Graphics Card (vRAM) GB 1.5 Processor Core i5 Condition ni Used kidogo sanaa na ina...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana jf kwa yoyote anaye fahamu msaada plz @ litre bei gani? 20 litres kwa bei ya jumla?
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Galaxy note edge mpya 400000 Haina tatizo.
0 Reactions
5 Replies
839 Views
Wakuu kama bandiko linavyosomeka. Nahitaji kama kuna anayeuza Alcatel zile ndogo za kawaida. Nimesahau model ila ni zile ndogo. Naihitaji. Kama uko nayo wauza PM na bei na namba ya simu.
0 Reactions
2 Replies
830 Views
Jee wewe ni mtunzi wa hadithi, vitabu vya riwaya, tamthiliya au vitabu vya taaluma, na umekuwa hufadiki na kipaji chako cha uandishi? Jee umeandaa kitabu chako lakini umeshindwa kukichapisha kwa...
2 Reactions
5 Replies
12K Views
NAMAINGO BUSINESS AGENCY CO LTD ni kampuni ya ushauri wa kibiashara, ikijikita zaidi kwenye kilimo biashara (AGRIBUSINESS).Kampuni inawaunganisha Watanzania wajasiliamali na wajasiliamali...
1 Reactions
76 Replies
17K Views
Kupata habari ni haki ya kikatiba , ni makosa kuwakosesha habari watu waliolipia , ni wizi wa mchana na haukubaliki . Kupokea malipo ya wananchi ili kuwapa huduma ya kuwaonyesha channel kadhaa...
4 Reactions
52 Replies
9K Views
Nauza mazulia mazuri ya mtumba..popote ulipo waweza kutumiwa...whatsapp no 0717556623/0743185408
2 Reactions
9 Replies
7K Views
Back
Top Bottom