Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

kwa uhitaj wa special number za vodacom, kwa ajil ya biashara, matangazo au matumiz binafsi. [emoji92] [emoji92] [emoji92] [emoji92] [emoji106]
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Habarini wapendwa, Nauza maharage aina ya roz coco rejareja na kwa debe pia napokea tenda mashuleni au vyuoni.
0 Reactions
0 Replies
793 Views
PRINTER ZA KISASA KABISA TOLEO JIPYA INAPRINT KOTE KOTE NYUMA NA MBELE KWA PAMOJA,INA WIRELESS NETWORK, NI PHOTO PRINTER, UNAPRINT CHOCHOTE DIRECTLY KUTOKA KWENYE SIMU YAKO Tunapatikana Kkoo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Phone specification Internal storage 16 Gb Camera 16Megapixel both Rom 3Gb Fingerprint security Full metal body Adroid 7.0 Full High definition display 4G LTE network 4LED flash for low light...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
INACHOMA NYAMA, KUKU, MIKATE, SAMAKI, MISHIKAKI, NDIZI, NK. Tunapatikana Kkoo msimbaz daresalaam pia mobile shop tunakufukia mpaka home hata mikoani tunawafikia agiza upate kwa wakati kwa nn...
0 Reactions
2 Replies
926 Views
nauza gita ya solo ni za nyuzi 5ziko mbili ni used Toka denmark kwa moja ntakuzia 350,000/ Nna vifaa pia vingine vya mziki pia kwa wale wanahohitaji wanicheki hewani 0715591141 napatikana dar Ova
0 Reactions
7 Replies
4K Views
brand hp Processor intel Ram: 4gb Storage : 500gb Condition : clean almost new Accessories: charger na wire zake mbili za kuchomeka ukutani , moja ni mpyaaa haijatumika kabisa 0769 524 022.mobile...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF! Jipatie software maalumu itakayo kusaidia kutuma ujumbe mfupi, mmoja kwa watu wengi na kwa wakati mmoja.. Software hii itakusaidia kutoa taarifa kwa wateja wako na pia...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Ninatafuta mawakala mikoa yote kwaajili ya kusambaza bidhaa zetu. Hii ni nafasi kwako kujiajiri kwa mtaji mdogo saana njoo tuongee biashara kama upo serious tupigie: 0769112563 / 0658224994
1 Reactions
42 Replies
8K Views
Nauza viwanja viwili kwaajili ya makazi. - Kimoja kina Ukubwa wa 33 x 20 na cha pili 33 x 30 - Kwa shilingi Milioni 6 kila kimoja. - Vipo wilaya ya Hai (Bomang'ombe) km 1 kutoka Barabara kuu ya...
0 Reactions
1 Replies
869 Views
Wanajamvi naomba kujuzwa sehemu wanapouza mifuko ya Jumla ya Kuhifadhia Mazao,kwa bei ya Kiwandani..ama hata sehem kilipo kiwanda cha uzalishaji...Natanguliza Shukrani.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari wanajamvi wenzangu!! Ningependa Kujua wapi nitapata betri ya simu aina ya ZTE A452. Mimi nipo DSM. Ikiwezekana pia mwenye kujua anipe na bei zake!! Mawasiliano yangu ni 0738599877 Shukrani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu poleni na pilika pilika za majukumu. Vyuma vimekaza na ada za watoto zinakaribia. Ndugu yangu anauza eneo lake ili taifa la kesho liweze kupatikana. Wajomba wanahitaji ada za kwenda shule...
0 Reactions
58 Replies
8K Views
Toyota Raum New Model Year: 2003 Engine: cc1490 vvt-i Fuel: Petrol Mileage: 110,000 km Location: Dar Good and clean condition Price: 8m Njoo Tufanye Biashara Call/Sms 0713706675 or 0689858324
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Nina viwanja viwili kwa hio nauza kimoja kipo Pugu Kajiungeni, umbali wa kiwanja na barabara kuu ni kutembea dakika kumi. Mita 20 kwa 23 bei maelewano barabara ipo, umeme upo mpakani na kiwanja...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, natafuta body nzuri ya TOYOTA COROLLA TOURING WAGON mwenye nayo tuwasiliane.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Movie ni za Ulaya...pamoja na documentary kali na katuni za watoto. Series ni chache mno ila zilizoenda shule. Unachagua katika utakazo zikuta....muvi 20 buku jelo tu....whatsapp. 0624132227 call...
1 Reactions
20 Replies
7K Views
Wadau nauza kiwanja changu kipo pugu kajiungeni unashuka kituo cha seremala..panafikika na gari, umeme upo nyumba ya jirani ,,huitaji nguzo,,ni sehemu tayari watu wamejenga na wanaishi ukubwa ni...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu WANA jf,naombeni KWA anaetambua vilipo viwanda VYA kutengeneza chakula cha kuku DODOMA NA SINGIDA aniambie pamoja NA CONTACT zao no yangu ni 0659962232.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Ukubwa,ni 37M kwa 17M bei unaweza kunipa hata laki 3 tu Kipo Mwamagigisi njoo Pm nikupe mawasiliano
0 Reactions
6 Replies
987 Views
Back
Top Bottom