Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji ng'ombe wa kisasa wa kufuga mwenye uwezo wa kutoa lita zaidi 20 za maziwa. awe na mimba na mwenye naye anijulishe na bei anayouza. Mimi niko Moshi.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Naomba mwenye kujua bei ya simu tajwa hapo juu anijuze Shukrani
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu mm ni mgeni humu kwenye jamvi ninashida ya Ng'ombe wa maziwa mwenye uwezo wa kutoa lita 15 na zaid.Niseme nimekua ni mfugaji wa ng'ombe wa maziwa hawa wa mchanganyiko wa kienyeji na...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wakuu nahitaji redio ndogo za aborder zipo kama subwoofer ila ni ndogo zina spika mbili za nje Mwenye nazo anicheki pm nipo arusha
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina eneo lina madin hayo nahitaji kujua soko nataka kuchimba mwenyewe kimya kimya!
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Waheshimiwa nina shamba la Muhogo, lipo eneo la Dundani, kilometa chache kufika Mkuranga. Kwa mwenye fununu juu ya soko. Au kwa anayehitaji plzzzz contact me Wenu Mwali wa Giningi
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kuku kuchi ni jamii ya kuku wa kiswahili ambao wapo tafauti kimaumbile na kimazingira. Kuku kuchi ni kuku ambao bei zao ni tafauti na kuku wa kiswahili..wapo wanao watumia kwa kupiganisha na...
2 Reactions
22 Replies
12K Views
Tunauza na kusambaza miche ya miti ya mbao ( mitiki), kwa mikoa ya dar es salaam Pwani na Morogoro, Bei Tsh. 400 kwa mche White teak 500 Pia tunauza miche ya miti ya matunda kama vile miembe...
1 Reactions
12 Replies
7K Views
Habr guyz, kwa yeyote anaehtaj frij la mtumba dogo la mlango m1, kubwa la milango miwili na friza aniPM. Yanapatkana kwa bei ya elf90 mpk laki2. Mazuri na yanadumu muda mrefu. Karibu.. NiPM
2 Reactions
23 Replies
10K Views
wadau hivi tani moja ya mahindi ni sawa na gunia ngapi ? Pia ningependa kujua bei yagunia moja bei miezi hii February 2018 Ahsante
1 Reactions
28 Replies
18K Views
Kama wewe unafanya biashara halafu huna website hapa ndio penyewe. Tunatoa huduma zifuatazo *tengeneza blog na website poja na apps kwa gharama nafuu kabisa *tuna tangaza biashara yako na...
0 Reactions
3 Replies
906 Views
Habari zenu wadau Leo nakuja na maada hii ambayo inaonesha faida zinazo patikana katika majani ya stafeli >hutibu saratani >hutibu ngiri >hutibu tezi Duke Kwa uchache hivi ndivyo navyo faham kwa...
1 Reactions
89 Replies
24K Views
Habarini wakuu nauza laptop aina ya sony vio kwa 250,000 Specification Intel pentium Ram 4gb Hd gb 500 64 bit Matatizo Baadhi ya batani hazibonyezeki ni ya kubadilisha mother board Betri...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Salaam wana uchumi Nina gunia zangu 10 za mahindi mkoani kigoma,nataka kuziuza wale wenye uzoefu wa biashara ya mazao mnijuze bei zimekaaje kwa wakati huu Asanteni
0 Reactions
14 Replies
5K Views
OFA! OFA! OFA! (NIPE NIKUPE ZAIDI) NIPE 500 NIKUPE 550, NIPE 1000 NIKUPE 1100, NIPE 10,000 NIKUPE 11,000, NIPE 50,000 NIKUPE 55,000 YOTE YANAWEZEKANA! NUNUA VOCHA, KWA NJIA YA MTANDAO KWENYE...
0 Reactions
47 Replies
9K Views
Samsung j2 Iko katika hali nzuri inauzwa Ina yafuatayo: Speed yake ni 1.4GHz Saizi yake ni inchi tano Kamera ya mbele ni 5 MP na Kamera ya nyuma ni 8 MP RAM yake ni 1.5 GB ROM yake ni 16...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nunua Vocha kwa njia ya Vocha-pesa upate 10% ya ziada! Hii siyo ya kutania Nipe 500 nikupe 550, Nipe 1000 nikupe 1100, Nipe 2000 nikupe 2200, Nipe 5000 nikupe 5500, Nipe 10,000 nikupe 11,000...
0 Reactions
2 Replies
792 Views
Punguzo printer ya HP laserjet p2055d kwa 300k... 35 pages per minute. .....ni nzima kabisa 0755100907
0 Reactions
0 Replies
947 Views
Back
Top Bottom