Kuchi Farm Kigamboni dar

Kuchi Farm Kigamboni dar

suley02

Senior Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
107
Reaction score
62
Kuku kuchi ni jamii ya kuku wa kiswahili ambao wapo tafauti kimaumbile na kimazingira.
Kuku kuchi ni kuku ambao bei zao ni tafauti na kuku wa kiswahili..wapo wanao watumia kwa kupiganisha na kuapta kipato na wapo wanaofuga kwa ajili ya ushabiki. Mmi ni mfugaji wa kuku aina hii. 0777362964 whatsa. 0658103810 call.
8d1031f0ea8e81dcf9024ef25f026e0a.jpg
a08bd91f0e6e7eccb2234ea3989984f5.jpg
152af603b44080b3b5c684f6c783dc50.jpg
5d5b9a137ae2a840ad2c7df305c30137.jpg
7e4aa4c659179c70ebb73a5bbc035616.jpg
67d1f7a08b0591669537c9571701f5d4.jpg
. Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0658103810 au njoo whatsap kwa namba 0777362964. Karibuni sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao kuku ni 20000 wa siku. Wa mwezi 35000. Mitetea na makoo ni 250000 kwa 300000 majogoo ni 300000 na kuendelea juu. Karibu sana katika ufugaji unaokuingizia kipato..kuku wachache faida kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
300000 si bora niende Dodoma Ni nunue ng'ombe mzima Ni mchinje nifunge vizuri nilete nyama dar Nile hata mwezi mzima.!!
 
300000 si bora niende Dodoma Ni nunue ng'ombe mzima Ni mchinje nifunge vizuri nilete nyama dar Nile hata mwezi mzima.!!
Wazo zuri hilo..hawa kuku sio kila mtu kama anafuga..ni hobi na wateja wake ni wa aina hiyo hiyo sio kila mtu mfugaji wa kuku hawa au kila mtu ni mteja. Nenda dodoma bila kuchelewa ndugu au subiri kiangazi njaa izidi upate kwa nafuu zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh.. Kwa kweli wanavutia kwa kuangalia, ila kama unanunua kwa ajili ya kula wata-kuboa kwa hiyo bei
 
Wazo zuri hilo..hawa kuku sio kila mtu kama anafuga..ni hobi na wateja wake ni wa aina hiyo hiyo sio kila mtu mfugaji wa kuku hawa au kila mtu ni mteja. Nenda dodoma bila kuchelewa ndugu au subiri kiangazi njaa izidi upate kwa nafuu zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
hayo ni mapovu,hasira,taharuki au dharau? kakwambia ukweli huwezi kununua kuku kwa 300000 eti kisa ni kuchi. hawafiki bei hiyo mkuu. hata kama wana kazi nyingine zaidi ya kula ila si kwa bei hiyo. kifaranga 20000 only in tz
 
Hao kuku ni 20000 wa siku. Wa mwezi 35000. Mitetea na makoo ni 250000 kwa 300000 majogoo ni 300000 na kuendelea juu. Karibu sana katika ufugaji unaokuingizia kipato..kuku wachache faida kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sifa za hawa kuku ni nini? Bei inakaribia ya ng'ombe! Aisee ..
 
hayo ni mapovu,hasira,taharuki au dharau? kakwambia ukweli huwezi kununua kuku kwa 300000 eti kisa ni kuchi. hawafiki bei hiyo mkuu. hata kama wana kazi nyingine zaidi ya kula ila si kwa bei hiyo. kifaranga 20000 only in tz
Only in Tz? Hujatembea kuna kuku kuchi wa India mpaka m2 wanauzwa. Hawa kuku wanafugwa kwa hobi tu.. ni sawa na mtu anaefuga kasuku. Kasuku unaijua bei yake? Ana kazi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sifa za hawa kuku ni nini? Bei inakaribia ya ng'ombe! Aisee ..
Kwa ajili ya upendo tu kama ni mpenzi wa hao kuku. Hawa kuku mmi ninao zamani na nimefanya maendeleo yangu yote kwa kuku hawa. Ukiwa na kuku 200 wa kuchi hata uuze bei ya kutupa basi hela yako inakaa benki..kuku 200 kuchi wanafunika faida ya kuku wa nyama au wa mayai 2000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom