Simu nzuri ya Samsung J2 inauzwa

Simu nzuri ya Samsung J2 inauzwa

Airmanula

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
3,524
Reaction score
5,785
Samsung j2 Iko katika hali nzuri inauzwa

Ina yafuatayo:

Speed yake ni 1.4GHz

Saizi yake ni inchi tano

Kamera ya mbele ni 5 MP na Kamera ya nyuma ni 8 MP

RAM yake ni 1.5 GB

ROM yake ni 16 GB

Inatumia laini 2

Betri 2600maH

Unaweza kutumia internet kwa zaidi ya saa 10
Unaweza kucheza nyimbo za AUDIO kwa saa 60
Unaweza kuangalia VIDEO kwa saa 14
Na kuongea kwa zaidi ya masaa 18

bei : laki 1 na 50.

location ": mwanza

karibu pm anayehitaji kwa maelezo zaidi.

images-1.jpg

images-1-1.jpg

big_59c6faba28e8c035f300007c.jpg


Karibuni.
 
Back
Top Bottom