Natafuta ng'ombe wa maziwa wa kununua.

MrIsidori

Senior Member
Apr 3, 2014
191
83
Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji ng'ombe wa kisasa wa kufuga mwenye uwezo wa kutoa lita zaidi 20 za maziwa. awe na mimba na mwenye naye anijulishe na bei anayouza. Mimi niko Moshi.
 
Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji ng'ombe wa kisasa wa kufuga mwenye uwezo wa kutoa lita zaidi 20 za maziwa. awe na mimba na mwenye naye anijulishe na bei anayouza. Mimi niko Moshi.
Mkuu ukipata nami nielekeze wapi umepata, Mimi nahitaji watano.
 
kuna mtu yuko hapo hapo moshi anahitaji ndama dume.. wale wanaokua wakubwa.. ukipata nijuze haraka biashara ifanyike mara moja..
 
Back
Top Bottom