Ndugu yangu amekwama anapangisha g/house kwa 1.2 milion kwa mwezi anataka kodi ya miaka miwili atatue matatizo ila gest ipo uswahilini
Aliye serious awasiliane nae 0767448306
Maumivu ya tumbo la hedhi ni maumivu anayo yapata mwanamke wakati wa hedhi.
CHANZO CHA MAUMIVU
1. Kuvurugika kwa mfumo wa Hormone
2. Uvimbe ndani ya kizazi
3. Matumizi ya baadhi ya madawa...
Habari wadau,
Perfect ALuminium Fabricators inatoa offer kwa wale wanaotaka kupendezesha nyumba zao kwa kuweka dirisha za aluminium.
Kutokana na ugumu wa maisha na upatikanaji wa fedha, tumeamua...
EARPHONE ZA KISASA OFFER ARUSHA UNALETEWA MPAKA ULIPO
jipatie earphone za KISASA za Samsung kutoka Vietnam
Ni imara na zinadumu
Ni za KISASA na zinadumu sauti na bass nzuri
Bei ni 8000 tu na...
Wakuu kwa mwaka huu wa kilimo nategemea kuzalisha kwa kiasi kikubwa sana zao la Mhogo kama tani 150 hivi ,na naamini hili nitarifanikisha kwa sababu nimetengeneza kikundi cha kilimo ili tuweze...
Pata ushauri wa kitaalamu kutoka kwa wataamu waliobobea katika taaluma hii.
Huduma zetu ni.
Kuuza chakula cha samaki ambacho kinalishwa kwa kuanzia kifaranga mpaka samaki wa kuvuna.
Ushauri jinsi...
Habari waungwana,
Mimi na Ndugu yangu ( Binamu) Tunatarajia Kuvuna Tani 3 za Tangawizi mkoani Tanga Wilayani Lushoto,
Change Direction, Tupeane bei ulipo twende sawa.
Dar masoko yetu...
Nauza printer zangu aina ya Epson Inkjet,
Kwa ajili ya matumizi ya stationery na ofisini.
Moja ni L220 na ingine ni L382.
Zinafanya kazi zote;
Printing, Copying, Scanning (Black & Colored)...
Ni 1km kutoka new morogoro road,
Maji na umeme vipo karibu!
Nyumba ina vyumba vinne, sebule, jiko, choo bafu, stoo
Kiwanja ni mita 42*31
Bei mil 60
Mawasiliano 0712 584524
Kwa wale walioko mikoa ya dodoma na singida, ninahitaji alizeti gunia 500 za alizeti. yeyote anayeuza aje inbox nitampa mawasilino tufanye mazungumzo. sio lazima uwe umeshavuna hata kama bado...
Kwa wahitaji wa Huduma ya mtandao wa FFARS na TRA katika shughuli za kifedha kwa SHULE za msingi na sekondari,tunaweza kuwasiliana kwa namba 0620191802 kwa Huduma ya kimtandao muda wote.
Usikwame...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.