Sim laki 3..300000..ina internal storag ya 32gb
Ram ya 2gb
Camera 16mp
Ni mpya..
Ina uwezo mkubwa sana..
Nipo ubungo usiku..tegeta mchana..
0713099309 nipo.watsap.pia
Bei laki 3 tu.
300000 tu
*FULSA FULSA FULSA*
Wakazi wote wa Sumbawanga na vitongoji vyake
*Sky Traders kutoka Dar es salaam,* inakualika wewe unayetaka kijikwamua kiuchumi na kuongeza kipato. katika mafunzo maalum...
Wana JF, nawasalimu nyote!! Viwanja vinauzwa eneo la Ndurruma Arusha DC. Square Mita ni Square ni 2,500. Umeme na Maji zipo. Karibuni sana. Piga 0786224248.
Habari zenu wakuu,
Naitaji Tsh 90000/= kwa ajili ya kulipia pango,naweka bond baiskeli yangu ambayo ni Tubeless tyres,Nipo Arusha.
Tafadhari Naitaji msaada wako.Ni PM
wadau sisi ni kampuni ya HZL tunapatikana Arusha AICC tunashughulika na maswala ya trainings za ujasiriamali, customer care, human resource, lugha mbali mbali n.k tunashughulika pia na uandaaji...
Kama jumbe wangu unavyojieleza hapo juu, please anayeuza gari aina ya subaru forester jaman, aje dm tufanye bashara ila iwe number D. Na iwe kwenye hali nzuri.
Hello ndugu zangu habarini za jumamosi, Jana nimefanikiwa kuvuta dstv kiukweli channel ni nyingi ktk kifurushi cha bomba na offer yao ya miezi miwili inaitwa THE PUNGUZO buree, kwa 79,000/= na...
Habarini sana wakuu!
Samahani, nipo hapa Dar naomba msaada wa kuelekezwa duka au kufahamisha wapi au namna naweza kupata hizi Swiss Gear Backpark.
Ahsanteni.
Wakuu,
Naomba yeyote anayeuza au kujua mtu anayeuza Ng'ombe wa maziwa anayekamuliwa lita kuanzia 6 kwa mkamuo, naomba anitaarifu nahitaji ng'ombe wawili wa aina hiyo. Kama wakiwa jamii ya...
Natafuta Laptop Used mtu aniuzue .
Iwe kwenye hali nzuri
Ram iwe kuanzia 3GB ikiwa 5GB itapendeza .
HDD iwe 500GB na kuendelea.
Bajeti yangu ni 300k to 250k kulingana na ubora wa PC yenyewe...
Habari wakuu,
Jipatie huduma mbali mbali za usafi wa majumbani kutoka kwa wafanya usafi wazoefu na waaminifu. Hii ni maalum kwa wakazi wa Dodoma mjini.
Wasiliana nao kwa njia zilizo ktk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.