Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa ushauri wa kisaiokojia wasiliana nami kwa msaada zaidi.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Gharama ni 2000 kwa laini,na inachukua masaa 48 kuwa approved Kama wahitaji nicheki 0768260834(text)
2 Reactions
18 Replies
5K Views
Jaman wanaotaka kufanya miamala ya aina yte hyo apo mpyaa..haina shda.. Nipo river side. ..vocha..luku..dstv..dawasco..umme..n.k
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Ricoh mp4000/4001 Zinauzwa kuna vifaa vinahitajika Bei 200k each Interested PM
0 Reactions
2 Replies
713 Views
Nahitaji mtungi wa gesi ya mihang au orxy hapa dsm used kwa bei chee. Mtungi mkubwa. Kwa alionao nipm tufanye business
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kiwanja kipo Nia njema-Bagamoyo. Bei Milioni 17 call 0712787939
0 Reactions
2 Replies
967 Views
Una mtungi empty uliokamilika wenye kisahani na kidude chake cha kutolea moto, nicheki fasta, Miham,oil au orex Price:Tsh 35,000 nafata mwenyewe Niko dar For more details call/sms/wtsp...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kiwanja kinauzwa sistila makazi mapya kipo sehemu nzuri kimepimwa kina ukubwa wa sq meter 541 kina hati miliki bei mil 10. Kipo sehemu nzuri kipo karibu na shule ya secondary, hospital na soko.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Kiwanja chenye ukubwa wa 25 *25 sqm kinauzwa eneo la michese Iringa road jijini Dodoma. bei ni 1.7 milioni na inaweza lipwa kwa awamu. Eneo lipo km 8 toka city centre na lina huduma zote kama...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Natafuta chumba single kiwe self. Mitaa ya banana, keko au airport Msaada ndugu zangu.
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Nahitaji kununua 4G mifi router, iwe na lock au haina lock haijalishi ila ikiwa ni huawei ITAPENDEZA ZAIDI, kwa alienayo anitafute 0717701778 tufanye biashara.
0 Reactions
0 Replies
763 Views
Nahitaji kununua 4G mifi router, iwe na lock au haina lock haijalishi ila ikiwa ni huawei ITAPENDEZA ZAIDI, kwa alienayo anitafute 0717701778 tufanye biashara.
0 Reactions
0 Replies
558 Views
Wana jf wote kwa pamoja ..husiken na mada tajwa hapo juu..mim binafsi ni mjasiliamali wa uuzaji wa incubator na uuzaji wa kuku aina zote... Ninauza vitabu vya ujasiriamali jinsi ya kufuga...
0 Reactions
35 Replies
10K Views
Tunachora ramani za nyumba aina zote. Tunatoa ushauri wa ujenzi nk. Pia tutakupa gharama zote za ujenzi wa nyumba yako. karibu sana. 0654919121 0658919121
0 Reactions
1 Replies
3K Views
habari wadau.. nauza rice cooker mpya aina ya von hotpoint.. na pasi mpya aina hiyo hiyo.. ni mpya kabisa havijawai tumika hata mara 1... sababu ya kuuza ni sina plan ya kuvitumia kabisa...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Natafuta katani mwenye nayo kwa mwingi anitafute. Ahsante
0 Reactions
0 Replies
582 Views
Mm ni PHOTOGRAPHER and EDITOR Kaz zangu hizi hapa wakuu
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ipo Mwananyamala Komakoma Pembeni Ya Kanisa Anglican,lami mpaka mlangoni,kuna parking geti,maji vyumba viwili vya kulala sebule kubwa,jiko choo cha ndani
2 Reactions
6 Replies
968 Views
Nahitaji msichana wa kazi za ndani kutokea kijijini asiwe ambaye ameshakaa mjini umri uwe miaka 22-30 atafanya kazi za ndani kwa uaminifu, mshahara sh 70,000 asiwe mfupi maana wana hasira sana...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom