Mersen
Member
- Jul 17, 2016
- 57
- 65
Habari wakuu mm ni mgeni humu kwenye jamvi ninashida ya Ng'ombe wa maziwa mwenye uwezo wa kutoa lita 15 na zaid.Niseme nimekua ni mfugaji wa ng'ombe wa maziwa hawa wa mchanganyiko wa kienyeji na kisasa nataka nihamie kwenye ng'ombe wenye faida zaidi kulingana na mahitaji ya soko la DODOMA naombeni ushirikiano wenu.