de pedezyee
Senior Member
- Jun 21, 2015
- 105
- 109
Tunauza na kusambaza miche ya miti ya mbao ( mitiki), kwa mikoa ya dar es salaam Pwani na Morogoro,
Bei Tsh. 400 kwa mche
White teak 500
Pia tunauza miche ya miti ya matunda kama vile miembe, michungwa, chenza, parachichi nk. Kwa shilingi 2000.
Tunauza miche ya minazi ipo ya aina 2, east African tall inaanza kutoa nazi kuanzia miaka 7 life span yake ni miaka 100, na mbegu fupi inaanza kutoa nazi kuanzia miaka 3 life span yake ni miaka 45, gharama ni Tsh 5000 kwa mche,..
Miche ya papai shilingi 5000.
Hii ni Malkia F1.
Kama unahitaji miche ya aina tofauti wasiliana nasi tutaiandaa kwa ajili yako
NB: Gharama zitapungua kulingana na idadi ya miche unayohitaji, ofisi zetu zipo Morogoro..
Malipo ni baada ya kupatiwa huduma karibuni sana
Contacts.
WhatsApp/call/text
0766006128
0655715184