Nauza fresh meat(nguruwe) kilo shilingi elfu 7,ukihitaji kwanzia kilo kumi kuendelea unaletewa ulipo,
Nyama ni nzur sana,nguruwe kutoka moshi
Wote mnakaribishwa kuweka order zenu
+255752563313
Mme amkaje.
napatikana dar es salaam.
nahitaji watu au shule za kuwauzia novels za watoto kwa bei nzuri kabisa na nyongeza.
novels ni za watoto na wakubwa.
WATOTO
*kuanzia chekechea(picha nyingi...
Nyumba kubwa
Vyumba vya kulala 4
3 choo ndani, 1 choo nje,
Sebule , jiko na sehemu ya kulia.
Nyumba ndogo
Vyumba vya kulala 2
2 choo ndani
1 choo nje
Sebule
Bei ya kupanga milioni 1 kwa zote...
Wakuu nauza container ya 20ft iliyo katika hali nzuri USD 1,100. Inamilikiwa kihalali.
Pia trucks 113 ambayo inahitaji matengenezo kidogo kwa Tsh 14mil. Tela yake utaipata kwa 13mil ambayo iko...
Kama linavyojieleza, ni kwamba mwaka jana mwezi wa saba nilinunua pampu kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji. Bahati mbaya nilishindwa kuanza msimu ule kwa sababu nilipata matatizo ambayo...
Toyota harrier 4cylinder vvti engine, new model 2003 Bei milioni 23 maongezi yapo kidogo Location Dar es salaam kwa mawasiliano 0659299667 ukihitaji gari aina yoyote nitafute kwa namba hiyo upate...
Ndugu wana jamvi natumai mko poa. Naomba kuuliza mwenye ufahamu wa bei ya simu aina ya Samsung. Je kwa laki tano nitapata simu ipi ya samsung kwa hapa dar, iwe mpya na original.
nauza machine ya kuchomelea IPO katika hali nzuri ni Mpya na ya kisasa kabisa inauwezo mkubwa mpaka wa kutoboa chuma bei, 400000!
machine IPO Sengerema mwanza
mawasiliano:0752530592
Generator inauzwa bei poa sana tsh 100,000 laki moja ....
Sifa....
-Bado ina upya wake niliinunua miezi miwili iliyopita inapiga kazi kama kawaida...
-JINA lake Ni MAXTIGER..picha zinaonyesha...
Habari wadau kwa wakazi wa Mwanza,
Kiwanja kinauzwa kuna nyumba ambayo haijaisha ambayo inahitaji tofali 800 kufunga lenta ina vyumba 3 pamoja na master bed room maji yapo karibu pamoja na umeme...
Habarini ndugu wote humu ndani,
Kwa yeyote atakayehitaji kuku wa kienyeji tuwasiliane wanapatikana wengi tu bei ni rahisi itaendana na idadi ya m2 atakayohitaji ila ni kuanzia 16000 wakubwa.
GEOENGINEERS SURVEYORS LTD.
Tunatoa huduma zote za upimaji ikiwemo:
Ø #Upimaji wa viwanja vya makazi, viwanda, biashara n.k.
Ø #Upimaji wa barabara Highways, street roads n.k.
Ø #Uchoraji...