Nauza container ya 20ft pamoja na truck scania 113

Nauza container ya 20ft pamoja na truck scania 113

tanzaleo

Member
Joined
Oct 27, 2017
Posts
56
Reaction score
87
Wakuu nauza container ya 20ft iliyo katika hali nzuri USD 1,100. Inamilikiwa kihalali.

Pia trucks 113 ambayo inahitaji matengenezo kidogo kwa Tsh 14mil. Tela yake utaipata kwa 13mil ambayo iko katika hali nzuri.

Kwa yeyote aliye na interest, tafadhali ni PM ama wasiliana nami kwa simu 0787290385 au email: otmgar@gmail.com


Updates: Bei ya container imepungua mpaka $1,100. Karibuni.
 
Bila picha tangazo lako halijakamilika.
 
Wakuu nauza container ya 20ft iliyo katika hali nzuri USD 1,250. Inamilikiwa kihalali.

Pia trucks 113 ambayo inahitaji matengenezo kidogo kwa Tsh 14mil. Tela yake utaipata kwa 13mil ambayo iko katika hali nzuri.

Kwa yeyote aliye na interest, tafadhali ni PM ama wasiliana nami kwa email: otmgar@gmail.com
picha Mzee, halafu E mail address yako kidogo imekaa kama ONTARIO
 
Nashindwa kuattach picha kupitia JF mob application
 
Container ya 20ft
IMG-20180601-WA0048.jpg
IMG-20180601-WA0047.jpg
 
113 inakunywa wese balaa ila lina nguvu mno
 
Duh hiyo ni scania au skrepa ya scania?? Anyway container IPO poa..
 
Back
Top Bottom