Nauza nyama ya nguruwe(dar)

Nauza nyama ya nguruwe(dar)

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,631
Reaction score
38,750
Nauza fresh meat(nguruwe) kilo shilingi elfu 7,ukihitaji kwanzia kilo kumi kuendelea unaletewa ulipo,
Nyama ni nzur sana,nguruwe kutoka moshi

Wote mnakaribishwa kuweka order zenu

+255752563313
 
Kumbe bei kwa kilo inafanana na ng'ombe ! Sasa kwanini usifuge ng'ombe upate hela nyingi?
Ngombe anachukua muda kukomaa kaka
Nguruwe wa miezi 8 analika na unamake pesa kwa muda mfupi kams ukiwa serious na agrobusness

Mpe anae kupa
 
Ngombe anachukua muda kukomaa kaka
Nguruwe wa miezi 8 analika na unamake pesa kwa muda mfupi kams ukiwa serious na agrobusness

Mpe anae kupa
Pia Nguruwe anaweza kuzaa zaidi ya watoto ishirini kwa mwaka,mombe anazaa kamoja tuu
 
Unatoa nyama Moshi au wanyama na kuja kuchinjia dar? Nahitaji nyama fresh sio ya kutoka jokovu.
 
Back
Top Bottom