Nyumba ya inapangishwa Mbezi Samaki

Nyumba ya inapangishwa Mbezi Samaki

Mfikilwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2008
Posts
412
Reaction score
124
Nyumba kubwa
Vyumba vya kulala 4
3 choo ndani, 1 choo nje,
Sebule , jiko na sehemu ya kulia.

Nyumba ndogo
Vyumba vya kulala 2
2 choo ndani
1 choo nje
Sebule

Bei ya kupanga milioni 1 kwa zote mbili kwenye eneo moja.

IMG-20180528-WA0019.jpg
IMG-20180528-WA0019.jpg
IMG-20180528-WA0018.jpg
IMG-20180528-WA0016.jpg
IMG-20180528-WA0014.jpg
IMG-20180528-WA0011.jpg
IMG-20180528-WA0009.jpg
IMG-20180528-WA0006.jpg
IMG-20180528-WA0004.jpg
IMG-20180528-WA0005.jpg
IMG-20180528-WA0000.jpg
 
Milioni kwa saa, siku moja, juma moja,mwezi mmoja, mwaka mmoja,.......????
 
nadhani itakuwa per month cha kufanya unajiunga na mwenzako mnashea gharama unampa nyumba ndogo ya uwani mnacalculate gharama mnaeshea kwa mwezi maisha yanaendelea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom