Natafuta fundi wa kuchinja laptop yangu au anayenunua akarekebishe power switch, nimekata cable ya power switch bahati mbaya wakati narekebisha hinge za laptop zilikuwa ngumu sana.
Computer ni...
As per heading above. Nina kiwanja Kimbiji eka moja. Natafuta mtu wa kubadilishana naye kwa upande wa Madale, Mvumoni au Goba. kwa kuwa napenda kukaa maeneo hayo tajwa basi sitoangalia ukubwa...
Niulize chochote kuhusu samaki wa kufugwa au wanaojulikana kama samaki wa mapambo: 0712505049..
Nipo Dar. Pia nauza samaki hawa nasafirisha hadi mikoani kwa gharama ya elfu kumi hadi elfu 20...
Habari wanabodi,
Kama kichwa habari kinavyojieleza naweza kupata wapi sehemu ya kuaminika wanapouza mayai ya kuku aina ya sasso kwa ajili ya kutotoresha vilevile nikipatiwa na bei itakuwa vyema...
Habari mimi jackson fundi madishi ukiwa una shida au unahitaji kufungiwa kalibu sana popote nitafika ndani ya Dar kwa bei ya 20,000 Tu. Namba za simu 0745305256, 0625563390, 0718166275 kalibuni nyote.
Nina shida Sana na kabati la chuma kama hilo. Mwenye kuwa nalo ambae anatengeneza please naomba nijuze nalipata wapi au hata kama unajua linapatikana wapi nijuze.
Heshima kwenu wakuu!
Nahitaji kuanzisha biashara tajwa hapo juu wakuu,
Maeneo niliyo ya sort la kwanza ni Mbagala na Kimara.
Naomba mwenye uzoefu na biashara hii anisaidie mawazo juu ya mambo...
Model: 55UJ651
Display
Display Type
LED
Screen Size (in.)
55
Resolution
3840 x 2160
BLU Type
Edge
Video
HDR
Active HDR
└ HDR10
Yes
└ HLG
Yes
ULTRA Luminance
Yes...
Machine ya SELCOM kwa ajili kukata.
Luku
King'amuzi
Vocha zote
Tigo pesa, Mpesa, Airtel ..... n.k
Na huduma zingine nyingi.
Machine haina tatizo lolote na ina miezi 3 tu tangu niinunue Ila...
chuo cha kilimo na mifugo endelevu, mahinya mkoa wa ruvuma
kinatoa course za certificate in general agriculture and certificate in animal health and production
chuo kimesajiliwa na NACTE...
Salama Wakuu? Ninahitaji used pavement blocks, nipo Arusha. Kama unayo au unafahamu mtu aliyenayo, tadhali tuwasiliane kupitia 0754 754 593. Barikiwa sana.
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu nauza contener la futi 20 kwa pesa za kitanzania shilling million 3 contener lipo maeneo ya mbezi kwa mawasiliano zaidi kama unahitaji njoo pm
Nahitaji memory card moja yenye capacity ya 128GB.
Naomba kufahamu wapi zinauzwa na price yake, au kama kuna mtu anaziuza nicheck.
Nilipita maduka kadhaa kariakoo sijapata ya ukubwa huo, nyingi...
naitwa yustin nipo arusha ni mwanafunzi wa coz ya umeme diploma arusha technical kwa mafundi umeme ningependa kujitolea ninapokuwa na nafasi kwa mafundi wazoefu wa umeme arusha unaweza nitafuta...