mbona hujatoa details muhimu?Anaejua bei ya alizeti singida naomba tujulishane.
Singida kilo 858Anaejua bei ya alizeti singida naomba tujulishane.
Duhhh mbona imepanda sana
Nilikua sgd juzi gunia ni kati ya 55 na 60 kwasasa na mafuta lita 20 ni 58 bila dumuHabari wakuu! Poleni na majukumu!
Naomba kuuliza kama kuna mwenye anajua recent price ya alizeti aweze kuni-update
Asante sana mkuu!Nilikua sgd juzi gunia ni kati ya 55 na 60 kwasasa na mafuta lita 20 ni 58 bila dumu