Niulize chohote kuhusu biashara ya samaki wa mapambo/kufugwa

appoh

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
5,192
2,109
Niulize chochote kuhusu samaki wa kufugwa au wanaojulikana kama samaki wa mapambo: 0712505049..

Nipo Dar. Pia nauza samaki hawa nasafirisha hadi mikoani kwa gharama ya elfu kumi hadi elfu 20 kutokana ukubwa wa mzigo..
 
aqurium
 

Attachments

  • IMG-20151210-WA0012.jpg
    IMG-20151210-WA0012.jpg
    85.1 KB · Views: 305
nice one
 

Attachments

  • IMG-20151210-WA0005.jpg
    IMG-20151210-WA0005.jpg
    64 KB · Views: 231
nipo dsm hata mikoan wanafika bila shida
 
Niambie unawauzaje hao samaki? Na je unauza pamoja na aqurium yake.
Na je ni aina gani ulizonazo?
 
Niambie unawauzaje hao samaki? Na je unauza pamoja na aqurium yake.
Na je ni aina gani ulizonazo?
nauza kwa pair yaan jike na dume aquriumzipo

nina aina tofauti hata kama sina najua pakuwapata au ntakuelekeza pakuwapata
 
goldfish
 

Attachments

  • IMG_20160103_050317.jpg
    IMG_20160103_050317.jpg
    31.8 KB · Views: 140
shubkin
 

Attachments

  • IMG_20160103_050246.jpg
    IMG_20160103_050246.jpg
    23 KB · Views: 143
Je ni lazima uwe na umeme wakati wote na costing ipoje kwa samaki na mjumba wake
umeme si lazima kikubwa keep water water yatakeep fish na pia zipo pampu za betri cost inategemea nasize uitakayo
 
orange goldfish
 

Attachments

  • IMG_20160103_050220.jpg
    IMG_20160103_050220.jpg
    41.8 KB · Views: 137
Kama hizo pump hakuna na umeme hakuna wanaweza kuishi kwa muda gan? Pia hao samaki wana kula vyakula gani?
 
anaitwa papa au shark ana umbo na tabiakama za papa
 

Attachments

  • IMG_20160103_050032.jpg
    IMG_20160103_050032.jpg
    18.7 KB · Views: 138
Back
Top Bottom