BENNICK
JF-Expert Member
- May 2, 2013
- 634
- 866
Natafuta fundi wa kuchinja laptop yangu au anayenunua akarekebishe power switch, nimekata cable ya power switch bahati mbaya wakati narekebisha hinge za laptop zilikuwa ngumu sana.
Computer ni HP-15-r000na
Specifications
RAM-2GB
HDD-500 GB
Wifi/Bluetooth
15.6 inc screen
Battery life- 4 hours
Ina adapter yake kama inavoonekana.
Ukiamua kuchinja unato RAM, HDD, Battery, Screen, Motherboard, Feni, Keyboard,Wifi/Bluetooth adapters kila kitu kizima. Tatizo ni power button haifanyi kazi cable yake ya ndani imekatika.
Bei jipangie mwenyewe, lakini kuwa fair sababu chombo ni nzima isipokuwa power switch tu.
Pia kwa atakayekuwa anafahamu au anauza hiyo switch ya hp-15 naomba tuwasiliane ikishindikana kuuza niirekebishe niendelee kutumia.
Mawasiliano;ATTACH=full]825222[/ATTACH]