Kichwa cha habari kinahusika, Natafuta fundi wa welding mwenye generator na machine ya welding. Mi Naishi mpiji magoe mbezi ya kimara ambako umeme haujafika ninakazi ya siku moja. Ninatafuta fundi...
Habarini...
naomba kuuliza vilipo viwanda vya pedi kwa ajili ya wanawake na kiwanda cha baby diapers jijini dar es salaam.
Nina uhitaji wa kufika huko na sipajui,,,
msaada wa maelekezo ya uelekeo...
Nauza shamba langu mwenyewe lipo nala mjini dodoma ukubwa ni heka tatu kila heka moja ninauza laki saba(700000) tu ninauza sababu ya ninaumwa nilipata ajali week iliyopita sasa mfukobumeyumba...
Nimemaliza kidatocha sita mkoani Mbeya wilaya ya Kyela
Lakini sikufanikiwa kupata Chuo ..nikanza kuza vifaa vya simu kama makasha chaji.n.k lakini sijajua sehemu ambapo nichimbo la bidhaa izo kwa...
Habari wakuu,kwa wale wazoefu wa shughuli hasa maharusi,naomba tujuzane kumbi nzuri na bei zake kukodisha,kwa maeneo yoyote hapa Dar es salaam.
Ziwe za hadhi ya juu kabisa na hata za kati.
Naomba...
Heshima kwenu!
Naomba kujua wapi naweza kupata hard tonneau cover / bed cover ya Nissan Hardbody (Double Cab). Mwenye nao au anayejua wapi naweza kuupata tafadhali.
Ninamaanisha mfuniko wa bodi...
Wakuu nauza printer 4 in one yani ina scan,copy,print na fax kwa shilingi laki 760000, imenumuliwa mwaka jana kwa milioni 3 , hii ni Canon MF i5980dw ni wireless unaweza print bila kuunganisha...
In this scenerio you may request a video on a topic that you are interested on or you may contact a tutor for direct teaching.
Note:It covers only the topics on advance physics and advance...
Kama kichwa kinavojieleza, nina kuku 230 wa kienyeji wana umri wa miez 2 na wiki 2.
Nipo gongo la mboto jeshin dar es salaam.
Kuku hawa ukiwachukua utawatumia kama kuku wa nyama, kutaga mayai na...
Tunachora ramani za nyumba kwa gharama nafuu[emoji7][emoji7][100k]
Tunahusika na ujenzi wa aina zote pia
Tupo dar-makumbusho
Whatsup/call +255624004650
Je unahitaji kupata data zako muhimu?(Data Recovery)
Ninarudisha data kutoka kwenye
* Simu mbalimbali zilizoharibika/ambazo haziwaki/ ambazo zimefunga kwa password na umeisahau. (Zinazotumia...
Wakuu Habari
Kama heading yangu inavyojieleza hapo juu. Kwa wadau wa JF especially waliopo Daresalaam nahitaji mkopo wa 250k then nirejeshe 350k after a month. Dhamana nitakayoweka nitamwambia...
Lori na tela yake box body iko kwenye hali nzuri sana inauzwa bei poa kabisa vilevile zipo pia SCANIA 113 na DOLL tela zake zote box body mm nio menye hizo gari na sio dalali, kwa mawasiliano...
VIMEUZWA
Habari za jioni wakuu nauza vifaa vya saloon ya kike
1.draya moja
2.kioo kimoja kina frem ya alminium
3.troler yakuwekea rolers
4.kabati la alminium ukubwa ft 5
5.feni ya juu
6.viti...
Leo maeneo ya Bunju, Boko, Tegeta na Goba cement Dangote/Twiga Extra 1500-16000/= na Plus 16000-19000/=
Nimenunua leo Dangote extra Goba uwanjani 16000/
Nasikia kiwanda cha Wazo hakifanyi kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.