Truck & trailer fiat 682 n4 inauzwa

CONSULT

Senior Member
May 8, 2011
194
199
Lori na tela yake box body iko kwenye hali nzuri sana inauzwa bei poa kabisa vilevile zipo pia SCANIA 113 na DOLL tela zake zote box body mm nio menye hizo gari na sio dalali, kwa mawasiliano zaidi tuma email: ushauri_ubunifu@operamail.com
 
Jamani sasa sijui tuwaambiaje kila siku tutakuwa tunarudia habari hii weka details za kujitosheleza ili upunguze maswali hapa jamvini weka picha na details zaidi hizo uloweka hapo hazijitoshelezi
 
Haya ni matatizo ya kusikia deal kijiweni na kukurupuka kutafuta mseti, alikuwa hajajipanga kutoa tangazo inavyoonekana.
Amekurupuka na hang over ya pombe za mchana J'pili baada ya kutoka na hilo deal fake kwenye ulabu akakumbuka kuwa kuna free advertising media ndio anatest zali.

Mjibuni atapata cha kuongezea.
 
ili kupunguza maswali weka picha na bei za hivyo vitu tafadhali
 
Back
Top Bottom