Wapi kuna viwanda vya pedi kwa ajili ya wanawake na kiwanda cha baby diapers jijini dar es salaam

Malingumu

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
616
429
Habarini...
naomba kuuliza vilipo viwanda vya pedi kwa ajili ya wanawake na kiwanda cha baby diapers jijini dar es salaam.
Nina uhitaji wa kufika huko na sipajui,,,
msaada wa maelekezo ya uelekeo please!!!!!

sijamalizia title maana nilipost kabla sijamaliza...na sikuona sehemu ya kuedit title... samahanini!!!
 
Back
Top Bottom