Wapi naweza pata vifaa vya simu kama makasha chaji.n.k

mosesfrank

Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
40
Reaction score
12
Nimemaliza kidatocha sita mkoani Mbeya wilaya ya Kyela
Lakini sikufanikiwa kupata Chuo ..nikanza kuza vifaa vya simu kama makasha chaji.n.k lakini sijajua sehemu ambapo nichimbo la bidhaa izo kwa Dar es salaam. Na mbeya.plz help 0742421338
 
Anaye jua chimbo la kupata mizigo iyo jamani
IMG-20180808-WA0087.jpeg
 
We ukienda kkoo ulizia sehemu ambayo kulikua round about zaman utayaona maduka mengi sana barabara ya msimbazi nakudhauri ingia maduka yaliyo ndanindani
 
UKO WAP NA UNATAKA MZIGO TOKA WAP
Naitaji nifungie kaliakoo ila nipo mkoani .kwatyu yeyote anaye jua au anahusika na biashara hii ainisaidie ata kama wapo mnaenda China kuchukua unaweza nisaidia pia utalatibu Wa kufika uko na mawasiliano[emoji390][emoji390][emoji336][emoji336][emoji336]
 
KARIBU NDANI YA BOKSI SMS 0713055107
 
Nimemaliza kidatocha sita mkoani Mbeya wilaya ya Kyela
Lakini sikufanikiwa kupata Chuo ..nikanza kuza vifaa vya simu kama makasha chaji.n.k lakini sijajua sehemu ambapo nichimbo la bidhaa izo kwa Dar es salaam. Na mbeya.plz help 0742421338
Kama unatoka round about upande wa kushoto mtaa wa kwanza Aggrey/Msimbazi ingia hiyo road maduka yote unayoyaona yanauza hivyo vifaa ukijifanya unamuuliza mtu halaf akakuambia leta hela nisubir dukan hpa hapa atakupiga atakuletea mzigo ambao kaenda kununua cheap zaidi maduka ya hapo hapo ndani ndani huko....kuwa mjanja....kariakoo sio Mwanjelwa
 
Ahsante brother
 
Back
Top Bottom