Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kiwanja kipo tegeta ununio maeneo ya kilimo kwanza, kina ukubwa wa 800sqm Kina hati na kiko kwenye mitaa mizuri Bei 60m Bei ina maongezi kidogo Mawasiliana na kuja kuona 0756060183
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa mahitaji ya picha,video, za mikutano,sherehe malimbali kama harusi ,send off na nyingine pamoja na passport size zenye ubora karibu MGONANZI PHOTO STUDIO.Wanapatikana ndani ya Garden ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naomba kwa anajua guest nzuri au hotel kwa Kawe aniambie. Na kama inawezekana na bei zake.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
habari za majukumu wana JF siku chache zilizo pita nilisikia tangazo katika radio moja kuhisiana na UUZWAJI wa viwanja katika manispaa ya CHAMWINO (Dodoma). sikulipata vizuri hasa katika swala...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mdau yeyote mwenye social network na ameshindwa kuiendeleza njoo na jina la social network yako na web or app niione then tuongee business
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ninauza samsung yangu tab 4. 180,000 TZS....ina cracka kwenye kioo ila haina tatizo lingine...iko sawa kabisa. Nimeweka bei ya chini coz nahitaji hiyo pesa haraka. Situmi mikoani..nipo wa azizi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naombeni kwa mwenye kujua eneo zuri la kilimo cha Mahindi,Ufuta,Mchele au Maharage kwa Mkoa wa Morogoro anijuze.Nina mtaji wa Millioni moja nataka kujaribu kilimo.Naomba mnifahamishe wilaya na...
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Wadau wenzangu na wafugaji, nahitaji viranga wa mayai, nawafuata mahalipopote, nipo morogoro, mahitaji yangu ni Vifaranga 1000 tu. Asanteni.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Nina mashie ya kuzalisha miguu y sofa nahitaji mtu nimpea kwa makubaliano afanyie kazi , swala l kuiweka wap juu yake kama hajui namna ya kuitumia tamfundisha na soko namuunganishia nina watu...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Bado mpya kabisa Bei: 185000 Location: kigamboni Mawasiliano: 0675057693
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sifa za kiwanja Nipo chanika mwisho zogo Ali 20*20m Tofali 200 zipo Kokoto kiasi Vyumba vitatu, master moja Public toilet Dinning Sitting Niko Mazungumzo yapo, piga simu tufikie muafaka Simu...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nawasubilia..........
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nauza ps 3 game nyeupe. Haina tatizo haijawahi kufunguliwa. Rangi ni nyeupe Haina pad Tuwasiliane 0713088747
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kwa yeyote mwenye hao vifaranga ambae anapatikana jiji la Arusha naomba anipatie mawasiliano ili tufanye biashara maana nimezunguka sehemu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mayai ya kku wa kienyeji yanapatikana kwa bei nafuu npo mwanza-sengerema @450 vlevle pumba laini za mpunga znaptikana kwa kiwango chchte uhitajicho ma/liano 0712213314
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Natafuta video kamera aina ya canon....
0 Reactions
13 Replies
9K Views
Nyumba ina vyumba 3 vya kulala kimoja ni self, ful AIC kila chumba Kodi kwa mwezi shilingi 800,000/= Maongezi zaidi na kuja kuona wasiliana nami kwa:- 0756060183
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bado mpya kabisa Bei: 185000 Location: kigamboni Mawasiliano: 0675057693
0 Reactions
12 Replies
3K Views
habari wakuu kama kichwa cha habari kinavosema hapo juu mafundi wa umeme wa majumbani wanapatikana pamoja na wa electric fence wapo pia tupo dar ila hata mikoani tunafika pia kwa anaehitaji...
0 Reactions
27 Replies
10K Views
Nauza Mabasi yapo katika hali Nzuri Nissan Civilian Ndefu Engine 4 Cylinder Bei Inaanzia 14m Toyota DCM Gobole...Naanzia 25m imesimama haswa kama ujuavyo DCM haifi na inalipa Fadhira.... nakuachia...
0 Reactions
21 Replies
14K Views
Back
Top Bottom