samahani kwa kuchelewa kujibu sikuwa online...
Ni receiver zinazotumia dish kupata channel za tv hususan FTA yani kama sasa hivi channels za ndani ambazo hazionekani kwenye decoder za azam na *times unaweza kuziona 1 kwa 1 kupitia FTA receivers hizi kulingana na uelekeo utakaofunga dish lako,pia hicho speed s1 unaweza kustream baadhi ya channels kwa kuchomeka tu line yako au modem
NB:ukiongeza 20,000/ ntakupatia na dish dogo(bila lnb)
vyote ni used