Mapondo Mapoka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 274
- 135
Miezi 18Mkuu naomba kuuliza,,,uyo ana miezi mingapi ? Kike au dume???
JikeMiezi 18
Niliwahi kumpa faru jon alikoma kula kulauyu naskiaga anakula kila kitu hata mbwa akikatiza kwnye banda anamla
Ameza mara ngapi?Miezi 18
faru joni[emoji15]Niliwahi kumpa faru jon alikoma kula kula
Amezaa mara mojaAmeza mara ngapi?
Karibu tufanye biashara mkuuHuyo atanifaa kwa sikukuu ya krismasi[emoji39] [emoji39]
Hamna bhana siaminiuyu naskiaga anakula kila kitu hata mbwa akikatiza kwnye banda anamla
Sasa mbona mliambiwa mkiwa na shida mle tena mshibe..Haram iyo
Kule mpanda hazifungwi zinaachwa zinazura zenyewe kama kukuSasa mpaka muda huu unamuacha hapo sokoni anafanya nn? Funga kama peleka nyumbani hapo sokoni atakula mpaka visivyoliwa