SOLD: Vifaa vya salon ya kike vinauzwa

Status
Not open for further replies.

TUMBOO

JF-Expert Member
Jun 27, 2014
3,827
2,013
VIMEUZWA

Habari za jioni wakuu nauza vifaa vya saloon ya kike
1.draya moja
2.kioo kimoja kina frem ya alminium
3.troler yakuwekea rolers
4.kabati la alminium ukubwa ft 5
5.feni ya juu
6.viti vinne
7.kabati yakupangia taulo na kuwekea madawa
20170911_171757.jpg
 
Poa poa nilijua upo kanda ya ziwa huku nije. Tatizo kuvisafilisha hadi huku usukumani itakua tatizo
Uko vinafika sana nshasafirisha mzigo wa vitu vya ndani hadi mbeya kwa bei ya elfu 60000 tu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom