Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Viwanja vimepimwa na vina ukubwa mbalimbali. Vipo Kigamboni kisarawe II karibu na kiwanda cha maji Afya au Dar fresh kigamboni . Viwanja vina ukubwa mbalimbali bei ya chini kiwanja kimoja tsh 9...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari!?. Kwa wale wanaopenda Ku experience Virtual Reality Android games or videos. Basi hiki kifaa ni muhimu uwenacho, Simu janja ina maujanja kibao pengine mengine hujawahi kuyaona. Nauza 3d...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Mwenye bei ya 13 million sasa aje nimpe canter tipa tani 2 engine 33 box filter 1 tipa bado iko safi ina bomba kwenye body namba c mm ni mmiliki what's app namba 0752048709 njoo kagua gari tufanye...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Unapata app zote kutoka play store za kulipiwa bure kabisa pamoja na MODs za magame.mfano Asflat8 nitro Inaitwa ACMARKET
3 Reactions
79 Replies
9K Views
Habarini wakuu Sikuhizi kumekua na blog na website nyingi sana lakini ukiwauliza wanapokea kiasi gani kwa mwezi,ni kilio cha mbwa koko kwani mtu anadhani kua akishajiunga na google adsense basi...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Ni Dawa ya miti shamba asilia imesagwa na kuwa unga unga. Ni Dawa hisiyo na madhara kwa mtumiaji kuanzia miaka 18-85. Inaimarisha misuli ya Uume iliyosinyaa inarudisha Homone za Uume zilizo kufa...
2 Reactions
47 Replies
5K Views
Ni mashine ambayo ni automatic twoin one HATCHER + INCUBATOR -Inageuza mayai yenyewe -Inacontrol mvuke yenyewe -Inacontrol joto yenyewe
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF Naomba kuuliza kwa mwenye kufahamu mahali ambapo kuna kiwanda cha kutengeneza mifuko ya plastiki au ya nailoni kwa hapa Dar es salaam Ahsanteni
0 Reactions
23 Replies
10K Views
Toshiba satellite, hard disc; 500gb, ram; 2gb, processor; Intel(R) Celeron(R) CPU N2820 @ 2.13GHz, System type 64-bit operating system,. Location, mbezi beach, dar es salaam, Call/WhatsApp...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wanajukwaa Kwema ? Kama kuna mtu yeyote mwenye taarifa za chimbo la Roller za risiti za EFD na POS nyingine anijuze nataka kuitumia hiyo fursa.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Je! Umeshaijaribu app ya Tala? Hii ni njia bora ya kupata mkopo wa papo hapo! Tumia namba ya mualiko EUZIHC. Pata mkopo sasa: http://inv.re/79pcu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari ya jion wanajamvi.naomba msaada wa KUPATA soko la maharage ya kaki
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Majogoo chotara 20,000.00 makubwa; Kanga weupe 35,000.00; Bata mzinga madume makubwa 150,000.00 (tunaweza ongea bei ukitaka hasa kwa bata mzinga); vifaranga vya bata mzinga kati ya...
5 Reactions
27 Replies
19K Views
Blenda kama zinavyoonekana katika picha zainauzwa kwa kila moja shililingi za kitanzania elfu thelathini tu (30,000/=). Vilevile feni inayoonekana katika picha inauzwa kwa shilingi za kitanzania...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
NAUZA SAMSUNG FLAT SCREEN LCD 42 INCH . BEI SAFI KABISA NI USED KWA WIKI 3 TU. NAUZA KILA KITU CAKE . REMOTE , STAND YA CHINI, NA STAND YA UKUTANI AMBAYO NI FULL BOX ACCESSORIES. JAMANI NAHITAJI...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Natafuta mafundi wa kutengeneza mikanda na Maua ya gypsum mahali ni Ifakara kirombero tuwasiliane kwa 0625754786
0 Reactions
1 Replies
5K Views
House 4 rent TSh300,000 Hii ni nyumba ambayo inajitegemea,IPO moja tu kwenye kampaund,INA vyumba vitatu vya kulala,vyumba viwili ni master,sebule kubwa jiko na dining,umeme na maji ni vya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nauza kuku wa kienyeji (pure) kwa bei ya jumla 14,000. kuku wanapatikana Dar es salaam, Tabata, kwa atakaehitaji tuwasiliane kwa namba zifuatazo 0714407095.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
2.5 Acres, Beach/Sandy plot for sale at Buyuni- Kigamboni* .(45km from Feri kigamboni, and 500mtrs from the sea).Has clear Local documents! 1 acre for Tsh 12M.Cont; 0683715304
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom