Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Samsung C9 plus inauzwa kwa 200,000 simu ni mpya kabisa haina tatizo lolote unaikagua ukiridhika ndipo unalipia. Mawasiliano ni 0746862603 nicheki tuongee biashara Specs Eternal memory 32Gb...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau habari za asubuhi Naomba kujua bei ya mahindi kwa debe/gunia Dar es salaam kwa sasa. Nashukuru sana
0 Reactions
50 Replies
7K Views
Habari wana Jf? Natafuta Mahindi kwa bei ya chini angalau gunia liwe Tshs 45,000/- Kwa wenyeji wa mikoani huko naomba mwongozo. Nipo Mwanza mimi. Mawasiliano 0683011003 whatsapp/call Au...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Natumai MOLA anaendelea kujidhihirisha katika maisha yetu. Kama kichwa cha somo kielezavyo, natafuta eneo zuri la kufungua duka la asali mbichi maeneo ya kigamboni. Kwa wenyeji nisaidieni kutambua...
0 Reactions
3 Replies
940 Views
salaam, harrier old model inauzwa kwa bei rafiki kabisa. year of manufacturing: 1998 engine capacity (cc) : 2994 engine model: vvti (v6) body type: station wagon fuel consumption : petrol...
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Mimi ni fundi simu wa Muda mrefu, kwa sasa naishi mbeya willaya ya Mbarali. Nauliza gharama za spair bei ya Jumla. Vifaa ninavyohitaji ni speaker, Mic, Display za aina zote, sit cover, Housing...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa ajili ya kuhakikisha tunawasaidia wajasiriamali kuweza kulifikia soko zaidi; JamiiForums imepanga kuanza kuzitangaza bidhaa zao kwa kufanya uhakiki wa biashara zilipo na kisha kuwa-verify na...
51 Reactions
66 Replies
10K Views
Kama inavyojieleza hapo juu.... Nyumba ipo maeneo ya kariakoo mtaa wa magila karibu Emelly hotel.... Inafaa kwa ujenzi wa hotel na fremu za maduka!!! Bei ni 1.1b mazungumzo yapo!!!! Namba ya...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Habar zebu waeshimiwa naitaji mashine ya popcorn used inayotumia ges special kwabiashara ya kutembeza. 0657465520 morogoro
0 Reactions
2 Replies
782 Views
Faida za mbegu za maboga Zinaongeza nguvu za kiume Zinaongeza hamu ya tendo la ndoa kwa jinsia zote Zinajenga na kuboresha kinga ya mwili Zinaondoa magonjwa nyemelezi na kupunguza uwezekano wa...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Wakuuu bila kupoteza muda ,kichwa cha habar kinavyojieleza nahtaj mtaalamu wa vipimo na raman mwenye raman za nyumba ndogo ya vyumba v3,jiko,sebule na vyoo ndan .chumba kimoja kiwe master. nyumba...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Full (monitor, cpu, mouse, keyboard) ukiichukua unaanza kufanyia kazi. Ni nzuri kwa matumizi ya stationery au internet cafe Monitor-HP CPU- Gateway RAM 512MB HDD 40GB Processor - Duo core...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Toyota Dayna 2 Tons Tairi zote 6 ziko vizuri, zimetumika miezi 8 tu toka zinunuliwe plus spare Tyre yake pia. vibali viko okay, Bei ni 15 Million... majadiliano yapo kwa serious buyer. Liko...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Leo kuanzia saa 2:00 usiku hadi saa 4:00 usiku kutakuwa na mafunzo ya biashara ya vipodozi kwa watu ambao wanaipenda biashara hii na wanafikiria kuifanya.Utajifunza taratibu za kufuata kisheria...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Fundi urembo wa nyumba nguzo kona skating harch madrisha nk...napatikana dar Es salam ila popote pare ukiniitaji nafika kwa kazi zaidi na nyumba yako iwe na muonekano wa kisasa zaidi call.0784142034
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Toyota ist ya 2004,cc 1290 inauzwa,bei 11m.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Contact: Savei Digital Image [emoji390]+255786071719 [emoji391]saveidigital@gmail.com
0 Reactions
1 Replies
700 Views
Habari wanajamii Pharmacy hii inauzwa Shinyanga Mjini for more details please Pm me.
1 Reactions
34 Replies
7K Views
Jeep Grand Cherokee 2005 Ni ya 2005, cc3500, 4x4.# DRV, imelipiwa kodi na imesajiliwa Aug 2017. Ina leather seat Location: dar es salaam Tsh 23000000 Gari n mpya kabisa Maongezi kidogo yapo Call...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom