Natafuta fundi wa welding mwenye generator na machine ya welding

Wanu

JF-Expert Member
Sep 26, 2013
353
223
Kichwa cha habari kinahusika, Natafuta fundi wa welding mwenye generator na machine ya welding. Mi Naishi mpiji magoe mbezi ya kimara ambako umeme haujafika ninakazi ya siku moja. Ninatafuta fundi atakae kuja na vifaa vyake aje afanye kazi kwa masaa 8 na atakuwa kamaliza. Alietayari anichech inbox. Asanteni Sana
 
Back
Top Bottom