Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kama topic inavyojieleza Kama upo mwanza wee ni fundi welding nataka kitanda cha chuma cha ukubwa wa 4×6 njoo PM tufanye biashara
0 Reactions
18 Replies
4K Views
SPECIAL OFA KWA WANACHUO WANAO ANZA MWAKA 2017/2018 TOKA AUTOGURU WORKSHOP PATA KITANDA CHA CHUMA KWA MATUMIZI YA SHULE SIZE 4*6/5*6 KWA LAKI2 TU (200,000) DOUBLE DECKER 3*6 JUU 3*6 CHINI KWA...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
WADAU MWEN YE SIMU TAJWA HAPO JUU NAOMBA TUWASILIANE NA AWEKE PICHA NA SPECIFICATION ZA HIO SIMU YAKE PAMOJA BEI YAKE HAPA UBAONI KARIBUNI
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kipo kiwanja kinauzwa kipo Kapri ponti Mwanza jirani sana na Tilapia Hotel bei maelewano. Kwa wale matajiri wa mwanza wanao hitaji kuwekeza fursa kwenu. Kina msingi wa Gorofa tofali kadhaa kokoto...
0 Reactions
4 Replies
982 Views
Habari. Kama title inavosomeka hapo juu. Ningependa kuwapa fursa wajasiriamali/wafanyabiashara wanaojihusisha na °Kupika Keki °wanaouza/kutengeneza kadi za harusi nk. na °wapambaji wa ukumbi wa...
0 Reactions
3 Replies
673 Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu, nyumba yenye sebule na chumba kimoja cha self inatafutwa tena haraka saka maeneo ya chuo cha St. John, Dodoma. Bajet isizidi 200,000. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
3 Replies
941 Views
Kama kichwa kinavojieleza mimi n mkulima wa ngano kutoka njombe naomba msaada wa kujua wap nitauza ngano yangu na bei zake zpoje saiz
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nauza kitanda cha chuma futi 4*6 kwa bei ya 250,000 tu Nipo Dar es salaam kama unahitaji nitafute kwa namb >> 0766166483
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Sofa za Kisasa na imara zilizopo katika hali nzuri zinauzwa. Ni za watu wawili kila moja. Zipo tatu. Huna haja ya kubadilisha kitambaa. Bei kwa kila moja ni 280,000 maongezi yapo kidogo. Zipo...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Laptop aina ya Hp pavilion inauzwa kwa bei chee kabisa, Specifications; Processor dual core 2.21ghz, 4gb ram, 500hdd na screen 14.1 inches, battery life 2hrs! Price 330k ila maongezi yapo...
0 Reactions
0 Replies
526 Views
Habari Tunauza mashudu ya alizeti kwa ODA ya siku nne kabla Kg1 bei ni Tsh 275/= Karibuni
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Jipatie gari kwa bei cheee gari Imenyooka full vibali full AC bei.... Mil4500000 Contar.... 0657712875
0 Reactions
28 Replies
4K Views
USISUMBUKE NA 1.RANGI KUBANDUKA 2.LIPU KUPUKUTIKA 3.FANGASI UKUTANI 4.UKUNGU UKUTANI SIKAGARD 905W 5L NA SIKALITE 1KG NI JIBU LAKO TUNATOA 5YRS WARRANTY sikagard 905W 5L = 80,000 inapaka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wadau,niko mbioni kufungua car wash yenye kuhudumia magari madogo na pikipiki,nahitaji msaada wenu nitapata wapi mashine nzuri za kuoshea(pressure machine)hatakama used bei zake zikoje na...
0 Reactions
12 Replies
15K Views
Wapendwa,naombeni kujua wapi naweza pata mayai ya kuku hawa wanyama,yenye uhakika na kutotolewa pia gharama kwa trey,na mkoa yalipo naomba kuwasilisha asanteni
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Naomba mnisaidie kumtafutia mdogo wangu vyumba viwili maeneo hayo ,sababu ni karibu na kituo chake cha kazi.Anategemea kuhamia tarehe 15 mwezi huu wa 11,2018
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wakuu Kwa yeyote mwenye connection na dalali au mtu mwenye nyumba ya kupangashi moshi naomba msaada wa kuunganishwa nae. Nimehamia Moshi na nimejitahidi kutafuta nimekosa. Budget...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
CC1290 HAINA TATIZO HAINA UDALALI NIPO KINONDONI PIGA SIMU 0759974831
0 Reactions
1 Replies
823 Views
Nahitaji incubator ya kuchukua mayai 1500 au zaidi ya kichina,yakutumia sola na umeme wa tanesco,naombeni nisaidiwe wap nitapata,na kwa bei yake ikoje ,nipo mkoani,wafanyabiashara wababaishaji...
1 Reactions
5 Replies
928 Views
Wakuu, bidhaa tajwa inauzwa hapo juu Size= 5 * 6 Ni cha mbao (Mninga) Sababu za kuuza= Shida za dunia Bei 140,000/= Negotiable Location; Mbezi Africana Contacts; 0767819499
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Back
Top Bottom