Habari nahitaji kitanda kipya au kilichotumika kidogo in less than one year, namaanisha used but like new. Kiwe cha chuma au mbao. Only 5/6 ( kiwe tano kwa sita)
Bajeti yangu haizidi 120,000...
Salama wakuu
Ninawazo la kuanzisha biashara ya kuprint macover ya sim na laptop
Mwenye uwelewa vifaa vinavyo hitajika na printer ya aina gani na kias gan inauzwa anisaidie
Kiwanja kipo sehemu nzuri na huduma mhimu zinapatikana.
Ukubwa wa kiwanja ni mita 25*25
Bei ya kiwanja ni 8mil maelewano yapo.
Kwa ajili ya kuja kuona tumia namba 0622948987
Karibuni.
Kama tujuavyo kuwa mitandao ya jamii haswa "Jamii Forum " imekuwa ni mkombozi kwa kupata connections kutoka sehemu mbalimbali.
Hivyo, nawasogezea wote mlioko ndani ya Jiji la Mbeya huduma ya...
Bei ni milioni 4.8 ( milioni nne na laki nane) maongezi yapo
Full A/C
Full vibali
Full documents
Gari haijawahi kupata ajali hata siku moja
Tairi zote nne ni mpya pamoja na spear tairi
Popote...
Nauza achari/ubuyu wa embe ni embe zilizoanikwa juan na kupikwa kama ubuyu ni tam mnoo nauza 700 jumla 1000 kwa rejareja napatikana Songea town delivery ipo kwa wakaz wa mbeya mtwara Ruvuma yote...
MBEYA MBEYA MBEYA MBEYA
.
[emoji92] Tunauza UBUYU wa zanzibar wa jumla
.
[emoji92] Kisado kwa sh 15000 ambao utapata faida zaidi ya elf 10000
.
[emoji92] Ndoo ndogo kwa sh 35000 ambao utapata...
Habari zenu wakuu,
Kwa yoyote anayefahamu jinsi ya kusafirisha mayai kutoka Dar kwenda Dodoma ntashkuru sana! Mm naishi Dodoma na kuna mtu nimempata anauza mayai Dar kwa jumla ila yy hafanyi...
Habari wana jukwaa naomba kuuliza eneo zinapopatikana clips, na tambi kwa bei ya jumla kwa yeyote anaejua au yy mwenywe anajihusisha na hyo biashara anisaidie. Asante
Ni asali ya safi ya nyuki Wakubwa tani12,Dumu 600 asali ya makapi,tani moja na nusu asali ya nyuki wadogo,Dengu tani30 na choroko tani50.
NOTE:Mimi sii mwenye mzigo,njoo nikupe mawasiliano...
Gari hiyo inabidi iwe ya kuanzia 2003 na kuendelea,Rangi isiwe nyeusi na nyekundu, isiwe inasoma km Zaid 95000, cc isizid 1300! Atakaye kuwa tayari 0673728756 nipo ARUSHA tufanye biashara.
Habari wakuu, Mimi ni kijana mjasiriamali natengeneza viatu vYa kimasai vYa kiume na vYa kike vYa shanga na visivyo na shanga , uzalishaji kwangu ni PC 200 hadi 300 kwa siku hivyo ninahitaji...
Nipo Dar, nataka nianze biashara ya kusambaza mayai ya kuku, yaani nakua nanunua Mayai jumla kwa wafugaji alafu nawauzia wenye maduka na wauza chips. (usafiri wa kusuply upo)
Sina uzoefu na...
Sofa La watu wa tano kitambaa ni Velvet blue jipya linaliwa na vumbi tu linauzwa bei 500000 halina mito lipo hvyhvy. kwa mawasiliano nipigie 0716549940
Nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili vya kulala, jiko sebule, fensi, huduma ya maji ya kuaminika na ya kujitegemea umeme inahitajika maeneo ya njiro au moshono, budget laki 2.5.
hapana madalali...
Habari za uzima wapendwa Nina miti ya mpingu ipo shambani haijakatwa kama kuna mtu anavutiwa na biashara hii au anamfaham mtu ambaye anafanya biashara ya miti ya mpingo(miti ya vinyago)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.