Bei ni milioni 5 ( milioni tano) maongezi yapo
Ni pistone 3
Full A/C
Full vibali
Full documents
Gari haijawahi kupigwa rangi wala kupata ajali
Tairi zote nne ni mpya pamoja na spear tairi...
Wakuu za siku? Natumaini wote hamjambo.
Mimeona niseme hili, linaweza kunufaisha watu kadhaa ambao either wana mtaji au wanahitaji professional Documents za kuombea hela (funding & grants), au...
Mimi ni agent wa kampuni ya BRITAM INSURANCE wakuu nilikua naomba mtu mwenye gari au magari anahitaji insurance iwe comprehensive au third party anitafute nitakja sehem alipo nimkatie insurance...
I have a company doing hospitality management, I am currently managing two properties in Ngorongoro and Serengeti. I am looking for a partner who can pump in USD200,000 which will be swiftly...
Vehicle details :
Make : Toyota
Model : townace Noah
Year of manufacture : 2000
Engine capacity (cc) : 1990
Fuel used : petrol
Date of issue : 18/07/2018
Date of expired : 17/07/2019
Tare...
Sisi wazawa wa dar es salaam na hasa watoto wa mjini..kwa kawaida baada ya mizunguko yoote na stress za mjini jioni tunajumuika kwa mama kamche pale mwenge kupata moja moto moja baridi.
Hapo...
viwanja vinauzwa nyamagana kijiji cha luchelele karibu na dolphini lodge viko vitatu mita 16×30, vyote vipo sehemu moja vina hati. bei M6.5 kila kimoja, maelewano yapo simu 0753155934
Kiwanja Muungano Barabara ya Mwanza/Singida.
ukubwa - Miguu 28 kwa 25
umbali - 2.5 km toka Barabarani
Hakijapimwa ila wamehakiki
Bei-milioni 1.3
Kama uko interested niPM
MBISERE POULTRY FARM
Ni mzalishaji wa vifaranga chotara wa kuku .( wanapatikana kwa idadi yeyote)
Ni kuku wanaovumilia magonjwa.
- Wantaga mayai mengi.
- Wanastahimili magojwa.
Vilevile...
HOUSE FOR SALE AT BUNJU B.
Price: 50 milion Tsh.
Location: Bunju B
650M from Bagamoyo Road.
Plot size: 400 Sqm
Accomodation: 4 bedrooms (1 self contained ) with a lounge, kitchen, dining...
WanaJF,
Hapa Tanzania kumekuwa na maagent wengi sana wa kuagiza magari Japan kama vile BE FORWARD, STB JAPAN, AUTOCOM JAPAN n.k
Ni kampuni gani nzuri unayoijua? Ambayo hawabadilishi badilishi...
Habari wakuu.
Kuna hisa zinataka kunidodea, sasa nimefikia uamuzi wa kuziuza lakini cha ajabu kila broker ninayemfatilia yupo Dar es Salaam na mimi kwa sasa nipo Arusha.
Je ni wapi nitaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.