Tecno Camon CX Air Nakuuzia Kwa 220K

Tecno Camon CX Air Nakuuzia Kwa 220K

Castr

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
37,217
Reaction score
74,044
IMG_20181109_214217.jpg

SOLD

DISPLAY: 5.5 Inches

RESOLUTION: 720x480

RAM: 2GB

INTERNAL MEMORY: 16GB

FINGERPRINT: YES

OPERATING SYS: Android 7.0

CAMERA: 13 Megapixels with Flash

REAR CAMERA: 13 Megapixels with Flash

SIM: Dual Sim

NETWORK: 2G, 3G & 4G

BATTERY: 3000mAh Non Removable

PRICE: 220,000

LOCATION: Dar es Salaam

CONTACTS: Njoo PM.

SOLD
 
Attachments

  • IMG_20181109_214143.jpg
    IMG_20181109_214143.jpg
    53 KB · Views: 33
  • IMG_20181109_214317.jpg
    IMG_20181109_214317.jpg
    54 KB · Views: 29
Mtu atakayetumia CX Air basically ni sawa sawa na mtumia CX tofauti ipo kwenye ukubwa wa Megapixels za Kamera na resolution ya kioo.

CX ina 16 MP mbele na nyuma na resolution ya 1080x1920. If anything hii inaipa advantage CX Air ya kua na picha nzuri kutazamika kuliko CX. Ila CX itakua na advantage ya kua na uwezo wa fast autofocus na kwenye mazingira yenye mwanga mdogo.

Tofauti yao ipo ndani sana ila kila kitu kingine vipo sawa
 
Sawa mkuu ila uzuri wa picha si mg nyingi ila ni sensor,aperture,na Inaendana Chipset husika Ila megapixel hufanya tu picha kuwa kubwa pekee basi maana hata ukiangalia simu za kisasa au iphone nyingi zina mg 12 au hata proffessional camera nyingi haziwi na megapixels kubwa kwa kigezo cha kufanya picha iwe nzuri.Hapo ulikuwa hauko sahihi so far biashara njema boss wangu.
 
Kiukweli uko sahihi.

Lakini ulitakiwa kugundua kua nimezifananisha hizo simu mbili tu, sijatoka nje ya hapo.
Kwa professional camera kinachomatter ni lenzi na siyo MP.

Siku njema.
 
Yeah boss wangu uko sawa Mkuu.
 
Back
Top Bottom