Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mimi nina biashara ya duka Na mostly hua napenda kusikiliza mawazo ya wateja na kuyafanyia kazi Walihitaji voda vocha za kurusha...nkafanya research na nkawaletea Walihitaji pia...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Habari za kazi ndugu zangu. Mimi hapa ni muhitimu wa chuo nimekuja kwenu kuulizia ni taasisi gani ya kibenk inayotoa Mkopo wa bajaji au gari aina ya carry(kirikuu) kwa kuwa ndio biashara ambazo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kitanda cha mbao na godoro 5 X 6 vinauzwa.. Godoro ni Inch nane (GSM) Eneo: Mabibo External Bei: 280K maelewano yapo kidogo Nicheck 0675 425 148
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Natafuta nyumba ya vyumba viwili na sebule. Choo cha kujitegemea. Yenye tiles. Iwe eneo ningependelea ilazo, kisasa au nkungu. Kama sio basi iwe hata nje ya mji ila sio uswahilini. Nyumba shart...
0 Reactions
3 Replies
784 Views
Nauza sabufa na tv inch 25. Havina shida yoyote Bei: sh. 95,000 (woofer) na Bei sh. 250,000 (TV) 0783-489542
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ina miezi minne tangu inunuliwe! ina private plate number imetembea km 1755 tu bima yake inaisha june 2019 ina card risiti ya kununulia na risiti ya bima ni ya kuwqsha na kuondoka ipo Mbezi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hii si ya kukosa. Ni tar 03 Nov 2018 yaani jumamosi. Kutakua na offer kabambe kwa wale wapenda sandwiches ukitembelea mgahawa wa SUBWAY. Siku hiyo kutakua na offer ya double the feel good. Yaani...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Brandnew iPhone 7 plain 32gb Mattblack Full original accessories zote zipo Napatikana dar es salaam na sehem yoyote natuma Price:970k Contact:+255 656 629 061
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Habari wakuu. Natafuta mzani wa kupima urefu na uzito kwa wakati mmoja. Wapi naweza pata. Simu:0713-039875
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunahitaji mzani mkubwa wa takribani tani 10 kwa ajili ya kupimia magari kiwandani kwetu, kiwanda kipo Dar es Salaam. Mzani uwe umekamilika, uwe na vibali vyote pamoja na platform yake! Only...
0 Reactions
0 Replies
637 Views
Naomba contact address (namba ya simu) za fundi bomba (plumber) mwenye kusifika. Kazi yenye ipo eneo la Sinza. Shukran!
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Naomba kujua aina gani ya Camera Ina quality nzuri ya picha zake. Nahitaji kuanza ka biashara kadogo ka kupiga picha na passports size. Wazoefu wa mambo haya naomba mnisaidie Sasa nijue nanunua...
2 Reactions
6 Replies
5K Views
Brand New Note 9 Full Box Duos sim cards 128G8 Copper Gold colour Price 1,750,000/= fixed Call or txt 0686553689
0 Reactions
0 Replies
632 Views
Viwanja vinauzwa Kwa mkopo wa mwaka mmoja usio na riba wala dhamana , Viwanja vipo MADALE,GOBA,KIGAMBONI,VIKINDU, Na pia kwa wale wanaotaka kupimiwa viwanja na kutafutiwa hati mmnakaribishwa...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Gari namba (DDA) Full A/C Kilometers: 100,000 Engine: vvti Bei: 10mil.(millioni kumi) maongezi yapo. +255 693-204813 +255 757-482042 +255 717-671240 KARIBUNI
0 Reactions
2 Replies
870 Views
Habari wana jamvi, naomba mwenye kufahamu wapi naweza kununua Mtumba grade one wa watoto (Nguo pamoja na Viatu). Nahitaji kununua kwa jumla (belo). Asanteni kwa ushauri mtakaotoa.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Nijikite moja kwa moja kwenye mada. Ninatafuta chumba Mkoa wa mwanza wilaya Ilemela, gharama isizidi 50,000/=. Kwa yeyote ambaye anaweza kua na namba za dalali au kunisaidia...
1 Reactions
1 Replies
842 Views
Niuzie freezer ndogo ya biashara, iwe haijatumika sana, ukiwa na risiti ya manunuzi itapendeza zaidi. Bei isiwe zaidi ya laki mbili na nusu. 0752399070
0 Reactions
7 Replies
46K Views
Wale mabingwa wa ufugaji wamekuja tena kukuuzia Bata bukini wazuri ambao ni wakubwa na wanataga wanapatikana kwa bei nafuu, kumbuka yai moja la bata bukini linauzwa 50000 hivyo basi mnunuzi...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Back
Top Bottom