Kama wewe ni mkulima njoo nikuuzie shamba kwa ajili ya kilimo cha mboga mboga..
Eneo lipo kalibu na mkondo wa maji panafaa sana kilimo cha umwagiliaji, maji hayakauki.. Ukubwa heka moja. Bei...
Huna haja ya kuacha simu nyumbani au kuiweka mbali ukiwa unafanya mazoezi tumia phone arm band ufurahie mazoezi yako jipatie kwa sh 10000 za kitanzania utafikishiwa ulipo kwa wakazi wa dar es...
TILL za mitandao yote yaan
1. Vodacom(m-pesa)-150,000/=
2. Tigo(tigopesa) -120,000/=
3. Airtel(Airtel money) -100,000/=
4. Halotel(halopesa)- 70,000/=
pia maelewano yapo!.
Till zote zina jina...
Habari mkuu, karibuni mujipatie viwanja safi kabisa kwa bei ya ofa.
Viwanja vipo kiluvya, ambapo ni 3km toka mbezi mwisho.
Kutokea hpo kiluvya mpk kwenye viwanja ni 3km pia
Viwanja vipo sehemu...
Habari wanajamvi.
Nina mpango wa kuanziasha biashara ya kutengeneza matofali na pavement blocks. Sasa nimepata chimbo moja lina mashine safi sana kwa hii kazi. Tatizo langu sijawahi kuagiza...
Habari za muda wakuu,
Mimi ndugu yenu niko mjini hapa Dar es Salaam kwa shughuli itakayoniweka mwezi mmoja na kidogo, ili kurahisisha suala zima la sehemu ya kulala nimeona nitafute chumba...
NAUZA SHAMBA LANGU LA EKARI 20 LIPO BUNGU KIBITI NALIUZA KWA BEI YA CHINI KABISA KWANI NINA SHIDA. BEI NI SHILLING MILIONI NNE TU CASH. KATIKA SHAMBA KUNA NANASI KATKA EKARI TANO NA VIBANDA VYA...
wakuu natafuta chumba pande za magomeni mapipa....
nahitaji chumba cha kawaida(self itakuwa poa zaidi)
maji ya bomba,umeme ni must...
bei yangu ni 40-70 kuendana na quality ya chumba.
note;nipo...
Habari zenu wadau wa biashara, uchumi na ujasiliamalia?
Ebana ningependa kufahamu juu ya upatikanaji wa vifuko vya ujazo tofauti kwa ajili ya kuhifadhia bidhaa ila ningependa kufahamu haswa ile...
Habari wakuu natafuta soko la uhakika wa viazi vitamu (viazi lishe)
Nina ekari tano maeneo ya morogoro Kilosa kijiji cha msowero.
Tuwasiliane inbox kwa maelezo zaidi.
Salaam wadau humu ndani
Napenda kuwatangazia kuwa Kwa mahitaji ya nyumba za kupanga maeneo tulivu kabisa ya Mwenge mikocheni na mbezi beach ambapo access ya public transport ni rahisi hata ukiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.