WE ARE PROFESSIONALS IN GSM INDUSTRY FOR THE FOLLOWING SERVICES
ALSO UNLOCKING PHONES BY IMEI
UNLOCKING ANY GSM PHONES
IPHONES
NOKIA
SAMSUNG
ALCATEL
BLACKBERRY
UNLOCKING ANY...
Nauza Smartwatch yenye uwezo wa kufanya yafuatayo:
-Ni touch screen yenye size ya 1.54 TFT"
-Ina camera unaweza kupiga picha ukiweka memory card.
-Ina uwezo wa kuweka simcard na memory card...
Hbr wananzengo,nimealikwa ktk harusi ya swahiba wangu inayotarajiwa kufanyika mwezi ujao ila vazi siku hiyo ni western suit.naomba mnijuze ni wapi nitapata western suit ya kukodi na itagharimu...
habar wana jamvi najitokeza kutafuta instagram account ya kununua yenye kuanzia followers 50,000 elfu hamsini mahususi kwa ajili ya kuanzishia biashara, yoyote mwenye nayo au kumfamhamu mtu...
Wajasiriamali...nawasalimu.
Natafta biashara/mradi unaouzwa. Ninamaanisha biashara au mradi unaoendelea ila unauzwa kwa sababu yoyote isipokuwa za msuguano wa kikodi na serikali.
Biashara au...
Eneo lipo kerege kama unaelekea bagamoyo lipo upande wa kushoto, mita 500 kutoka lami
Hati ya eneo ni ya viwanda
Maeneo hayo kutoka lami yametengwa kwa ajili ya viwanda
Kwa sasa panafaa...
Habari wakuu.. Natengeneza Membership systems za kulipia kwenye website kwa bei nzuri kabisa. System hii inatumika sana kwa wale wanaotaka kutoa taaluma/mafunzo ya ujasiriamali au ya kitu chochote...
kwa wale wanaohitaji kuandaliwa memorandums za kufungulia kampuni na msaada wowote kwenye kufungua kampuni,Kutengeneza Companies' Profile, Companies' Objectives, companies's memorandums n.k kwa...
Natafuta gari hizi iwe kwenye hali nzuri na bajet isizidi milioni 8
1/Allion Nzuri Bajet ichezee kwenye hapo
2/Spacio bajeti ichezee chini ya 8
3/ Harrie model ya zamani bajet isizid 9...
Magari yafatayo yako sokoni
piga 0719539431(larson) ku ona Gari au kukunua Gari
kwa anaetaka kuona au kununua piga nanba hii hapa (0719539431)pia tebmbelea blog yetu kwa picha detail na magari...
Natarajia kuchinja nguruwe wangu watatu nauza nyama jumla na reja reja kwa siku ya kesho,nikipata Wateja jumla itakua vizuri,kilo shilingi 6500.wapo Tabata segerea.napokea order mbali mbali,Mzigo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.