Hili jengo la ghorofa la makontainer lipo pale ofisi za Manispaa ya Ubungo Kibamba darajani upande wa kulia kama unaelekea Kibaha au upande wa kushoto kama unatokea Kibaha. Jinsi lilivyo kaa siyo...
Habari wadau nataka nianze ujasiriamali wa kutengeza sabuni
Ninahitaji material haya;-
Makontena kama hayo ya kutengezea sabuni
Pili nahitaji "soap making transparency" hii ndo ya kuigandisha...
Habari za majukumu wadau nauza gari aina ya vitz na inapatikana KIVULE - UKONGA - DAR ES SALAAM
1. Year 2001
2. CC 1290
3. 123,000 kilometers
4. Model No. TA-NCP1O
Kwa mwenye kuhitaji tafadhali ani pm
Wakuu habari, nadhani humu ndani nipo mahari sahihi kwa wataalamu wa mambo ya technilogia, natafuta mtu mwenye camcorder video camera yenye mega pixel 24 au zaidi, tufanye biashara, kama unayo...
Hali ngumu wakuu kimfaacho mtu chake
Nauza laptop HP kwa bei ya Tsh 380000 tu fixed price
Inakaa na charge hadi masaa 6 ikichajiwa
Haina tatizo lolote la kiufundi na haijawahi funguliwa
HDD 500...
Nahitaji earphone za kampuni ya Samsung au niseme iliyokuja na brand new ya samsung msingi iwe used haswa kuanzia J5 prime,J7 ,Note 4 na kupanda juu dau langu elfu 20K kwa mwanza itapendeza sababu...
Habari za muda huu,
Nilikua naulizia sehem zinapo uzwa mashine za kuhifadhia maziwa na bei zake.
Uwezo wa kuhifadhi uwe kuanzia ltr 100 na kuendelea.
Ahsante
THE WHEEL AUTO STORE
TUNAPATIKANA UBUNGO BUS TERMINAL (KULE NYUMA KWENYE MAEGESHO YA MAGARI)
KWA MAHITAJI YA TAIRI ZA MAGARI SIZE ZOTE KARIBU TUKUHUDUMIE.
0717438287/0764547024
Nahitaji photocopy machine kati ya aina zifuatazo:- IR2025, IR2520, IR 2020 na hata kubwa kidogo zaidi ya hizo.
Bei tutaongea.. mwenye nazo anicheki faster nahitaji ndani ya siku mbili tu.
Shamba zuri tambarare ukubwa heka tano linauzwa
Shamba lipo maeneo ya kongowe kibaha eneo la saranga umbali km 10 kutoka barabarani. Kuna barabara ya vumbi magari yanafika.kuna reli ya umeme...
TUNAUZA NAZI KWA BEI YA JUMLA
NAZI KUTOKA KUSINI (LINDI & MTWARA) NAZI BORA ZILIZOKOMAA VIZURI
TUNAPOKEA ODA KUANZIA NAZI 250
UKIAGIZA NAZI KUANZIA 1000 TUNAKUSAIDIA KULIPA USHURU.
NB: TANGAZO...
HABARI WAKUU,
Naitwa Enock ni fundi wa kutengeneza sofa, napatikana Mbezi, Dar es Salaam, Tanzania.
Sofa kama hii ya kukaa watu wawili bei ni 280,000/=
Kwa mahitaji ya sofa kama hii na aina...
Nimeamua kuwasaidia wakulima wadogo wadogo.
Nimetafuta kampuni inayotengeneza incubator ambazo ni full automatic na bei zake ni nzuri huwezi linganisha na ubora wake.
Kuanzia mayai 264 mpaka...
Wakati tunaelekea Msimu wa Christmas na Mwaka Mpya basi Sikia hii
JUZA FASHION ni Kampuni ya Uuzaji, Utangazaji na Usambazaji wa Nguo Africa Mashariki na Kati, Hivyo basi Kupitia kwenye Website...
Natumai mko salama kabisa Kichwa hapo juu kinajieleza kabisa Ukiwa huna Tcl una Lg au Samsung sawa ila iwe nchi 55 kipaumbele zaidi ni TCL tuma picha tuma sms au piga simu kwa 0759117175
Offer...
Kama kichwa kinavojieleza kwa wale mafundi, mbao au ujenzi. Kama kuna yoyote anayeweza kunisaidia hiyo epoxy itakuwa vizuri, nahitaji kidogo Sana kama nusu lita. Kuna project nataka kufanya...
ni hp probook 6360b core i5 , 4gb ram . 300 hard disk ,processor 2.5 ghz
inapga kazi vizur sana
- battery halikai na chaji
-pia left na right click button za kwenye touchpad hazifanyi kazi ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.