mamso
Senior Member
- Feb 9, 2017
- 174
- 195
Mimi ni mjasiriamali na mfugaji haswa wa mbwa. Nauza mbwa wa breed tofauti tofauti hasaa German shepherd na Rottweiler, pia ukitaka BoerBoel na Pitbull wapo pia, napatikana Dar, na mkoani tunasafirisha, kwa wakazi wa Moshi na Arusha pia nina branch ya mbwa huko, karibuni sana wapo well trained. Kwa mawasiliano zaidi 0744898813